allah siyo Mungu, allah ni shetani linaloabudiwa na waislam. Mungu wa kweli hawezi kuruhusu haya yafanywe na viumbe wake.
Hiv lile taifa lenu teule la mchongo linalofanya mauaji mpaka hospitali vp nao wana mungu wa kweli????
 
Acha kutetea ujinga GAIDI MKUBWA WE
 
Kijana wa kitanzania ameuawa bila kosa tena kikatili inauma mno. Ni ushenzi na unyama. Ila hapa tusichukulie udini wala nini. Ni watu wachache washenzi wenye kuweza fanya haya mambo.Tusichukulie kuwa dini flan wako hivi, watu hutumia dini kama kivuli. Mfano somalia wote ni waislamu lakini vita kwao kila siku wao kwa wao, Iraq na Iran waote waislamu lakini walipigana vita muda mrefu. Ireland ipo ndani ya United Kingdom lakini kulikuwa na magaidi , Spain nako hivo hivo. Hakuna kundi la kigaidi au wauaji wasiokuwa na dini yao hivo hapa swala siyo dini.
 
Tundu Antipas Lissu ameuchambua kwa kina mgogoro wa Gaza na kusema Palestine ipo tangu Enzi za Torati lakini Israel ilianzishwa mwaka 1947 kwa Azimio la Umoja wa Mataifa.

Lisu anasema mwaka 1916 Uingereza ilijitwalia eneo la Mashariki ya Kati na kulitawala ikiwemo Palestine, Jordan, Syria, Saudi Arabia nk

Lissu anazidi kufafanua baada ya Vita Kuu ya kwanza palizuka Makundi ya Kigaidi mawili ya Wayahudi ambayo yalikuwa yanauwa Waarabu hasa Wapalestina na waliwahi kuchoma moto Kijiji kizima cha Wapalestina na kuuwa Wanawake na Watoto Zaidi ya 100 pia walilipua Hotel ya King David

Baada ya kuona hatari ya Wayahudi na hasa baada ya kufyekwa na Hitler na kubakia wachache Uingereza ilipelekea pendekezo UN ili sehemu ya koloni lake la Palestine wapelekwe Wayahudi. Ndipo Azimio la Umoja wa Mataifa namba 181 la mwaka 1947 likapitishwa huku Wayahudi takribani 650,000 wakipewa 56% ya Ardhi ya Palestine na Wenyeji Palestine waliokuwa takribani 1,350,000 wakiachiwa 44% ya Ardhi yao

Lisu anasema baadae Wayahudi wakajiongezea eneo na kufikisha 80% huku Wapalestina wakisongamanishwa kwenye 20% ya Ardhi yao

Na kama haitoshi 1967 baada ya kushinda Vita na Misri na Syria Wayahudi walijimilikisha 100% ya Ardhi ya Wapalestina na kuchukua pia maeneo ya Sinai na Golani

Lisu anasema Hamas ilianzishwa miaka ya 1982 na awali Wayahudi waliwatumia Hamas kuidhoofisha PLO lakini baadae Hamas walijitambua ndipo Wayahudi wakaanza kuwarubuni Fatah wawe ndio Chawa wap

Hamas walijiimarisha na Kwenye Uchaguzi Huru mwaka 2006 Hamas ilishinda viti Vya Ubunge 78 Kati ya viti 132

Lisu anasema Azimio la Umoja wa Mataifa namba 242 la mwaka 1967 linatambua uwepo wa Mataifa Mawili ya Israel na Palestine hivyo Hamas Wana Haki zote kuitetea Ardhi ya Babu zao na Watoto wao

Wewe ukiwaita Hamas ni Magaidi Wenzako Wapenda Haki na Waarabu wote wanawaita ni Wapigania Uhuru

Hata Mandela na ANC waliitwa ni Magaidi na Condolesa Rice alipokuwa Waziri wa Foreign wa USA alisema anapata tabu Wakati anapomualika Waziri mwenzake wa Foreign Affairs wa SA Kwani inabidi kwanza atengue ile kanuni ya Ugaidi wa ANC ndipo apewe visa, amesema Lisu

Lisu anasema Wayahudi kama wanaamini wataifuta Hamas.basi wanajidanganya sana

Lisu anamalizia kwa kusema kichekesho kilichopo ni Kuwa Waisrael karibia milioni 20 Wako New York Marekani Wakati pale Israel Wako milioni 7 na ushee tu na Zaidi ya nusu ya raia wote wa Jordan ni Wapalestina

Nawatakia Dominica Njema [emoji3]
 
Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.


Sasa kwanini Leo Israel inawaua, mnalalama kua wanawaonea??.
Unadhani mzozo wa Israel na palestina umeanza 2023??


Shida wengi mnaleta comments huku mmeanza kuusikia huu mzozo 2023.


Hivi unadhani hamas ni wehu sana mpaka wavamie Israel bila sababu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…