Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Kabisa, waarabu wanamchukulia mtu mweusi kama takataka.Huyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, waarabu wanamchukulia mtu mweusi kama takataka.Huyu bwana mdogo ni dhahiri kilichochangia kuuwawa ni ngozi yake tu na sio kingine.......
TakbirrrrHalafu hakuna picha ya mtume Muhammad،
Halafu acheni ufala, ugomvi mnaanzisha wenyewe halafu mnataka muachiwe
Watu wamechoka kuonewa
Mie cjakuuliza kuhusu ww???jibu swaliHata mimi nilienda huko na nikarudi salama. Bahati mbaya huyu kakutana na magaidi yaliyojazwa chuki za takbir yakamuua
Hujui unachoandikaView attachment 2845323
Kuzaliwa kwa huyu mwamba kumeiharibu sana dunia. Bora asingezaliwa huyu jamaa. Tungekuwa sehemu nzuri na salama ya kuishi.
Mimi nina uwezo mdogo kweli, ila nashangaa wewe kujiona bright halafu unaandika matopeUnaonekana uwezo wako ni mdogo kuhusu hii topic mkuu naomba nisikujibu kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv lile taifa lenu teule la mchongo linalofanya mauaji mpaka hospitali vp nao wana mungu wa kweli????allah siyo Mungu, allah ni shetani linaloabudiwa na waislam. Mungu wa kweli hawezi kuruhusu haya yafanywe na viumbe wake.
Hizo ndio athari za vita, wapalestina na waisrael wote wanakufa.Kwahiyo hamas kumuua mbongo ni sawa,,,,,kisa wao wanauliwa na IDF???
Naomba tupaze sauti yule balozi wa palestina alihojiwa na clouds tv juzi afukuzwe na ofisi zao zifungwe hapa tanzania inauma sana kuua ndoto za kijana kama huyu
View: https://twitter.com/AmiramKrasner/status/1736370468939030841?t=NmWTXKMrCE__jRwLmV6Ybg&s=19
Hata wazungu hvyohvyoKabisa, waarabu wanamchukulia mtu mweusi kama takataka.
Acha kutetea ujinga GAIDI MKUBWA WEView attachment 2845437
Hayo ni maoni ila chupi haiwezi kuwa point kubwa ,sababu footages za uongo walishatoa nyingi na Israel wana teknolojia kubwa sana ya kufanya chochote yaani wamekaa mda sana .
Kumbuka hata wale waliojisalimisha ni scripts sio kweli ni video za kutunga.
Ile video wakidai hospital walilipua Hamas nayo ni uongo ,walikuja kugundulika kutokana na mabaki ya bomu ..
Assume mtu anauliwa watu wengine wanapita wana ishu zao hata hawashtuki..
Kijana wa kitanzania ameuawa bila kosa tena kikatili inauma mno. Ni ushenzi na unyama. Ila hapa tusichukulie udini wala nini. Ni watu wachache washenzi wenye kuweza fanya haya mambo.Tusichukulie kuwa dini flan wako hivi, watu hutumia dini kama kivuli. Mfano somalia wote ni waislamu lakini vita kwao kila siku wao kwa wao, Iraq na Iran waote waislamu lakini walipigana vita muda mrefu. Ireland ipo ndani ya United Kingdom lakini kulikuwa na magaidi , Spain nako hivo hivo. Hakuna kundi la kigaidi au wauaji wasiokuwa na dini yao hivo hapa swala siyo dini.Kuna magaidi ya tanzania yatakuja kuyatetea magaidi ya hamas…
Hizi dini za uislam na ukristo na zinazo fanana na hizo ni utapeli mtupu lengo lao kubwa Dunia isikalike na isiwe sehemu ya amani
Inasiktisha sanaa watanzania kukumbatia udini ambao hauna maana yoyote na hakuna kitu kinaitwa pepo
Hakuna siku utapewa mabikra 72 peponi
Hakuna siku utaenda mahalj ambako ni kuimba na kucheza na kusifu muda wote
Huu wote ni utapeli[emoji24]
Kwahiyo ndo wakalipiza kwa kumuua kijana asiye na hatia!?Hiv lile taifa lenu teule la mchongo linalofanya mauaji mpaka hospitali vp nao wana mungu wa kweli????
Vipi hiyo chupi ya kijeshi?Hata mimi nilienda huko na nikarudi salama. Bahati mbaya huyu kakutana na magaidi yaliyojazwa chuki za takbir yakamuua
Ukiona hivyo basi ujue huyo Allah mwenyewe naye ni mpumbavu kama waoDaaah hawa washezi acha Israel iwauwe tu hakika
Alafu wanamtaka mungu wao eti alllah Akbar
Daaah Israel ua hao manyani
FaizaFoxy
Siwezi kumuunga mkono mtu anayemuona mtu mweusi kama ni mnyama.Sawa
Ila haiwi sababu yakutowaunga mkono hamas kuipigania haki yao yakimsingi
Unadhani mzozo wa Israel na palestina umeanza 2023??Kwan Huu mzozo ,Si Hawa magaidi waliamua kushtukiza na kumshambulia Muisrael??.
Sasa kwanini Leo Israel inawaua, mnalalama kua wanawaonea??.
Kilichompeleka ni elimu. Kwani wakati anakamatwa alikuwa na silaha? Si alikuwa tu na kibaiskeli chake? Alipokamatwa alileta upinzani? Magaidi mbwa mwitu yamemuua bila hatia. Takbirrr siyo salama dunianiMie cjakuuliza kuhusu ww???jibu swali