We are very Unfortunate to have Her in that Crucial / Vital Office in the Country and Worldwide.
 
Sawa hatuna influence duniani, hila kwenye regional politics we can do something.

Huu ni muda wa Makamba kushawishi regional blocks politics ndani ya EAC. Hawa ni ndugu zetu hasa kwa wale wanaopakana na Tanzania kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na Congo.

SADC tuanze kuongea na ndugu zetu wa mipakani kama Malawi na Zambia. Total inakuwa 8 ambazo tunaweza ikana Hamas kwa pamoja. Moreover tukiweza kupata support ya nchi zote za EAC, SADC au hata majority of AU you don’t expect all of them to join the course but it a bold statement.

Wote hao wakubaliane wana support taifa huru la Palestine, hila kuitangaza Hamas sio freedom fighter ni kundi la magaidi.

Kuutaka balozi za Palestine zilizopo katika jumuiya za nchi zinazotuunga mkono hasa majirani zetu na ndani ya SADC kuambia dunia, Hamas ni kikundi cha kigaidi ambacho hakipo sambamba na wao; ama sivyo tunafunga balozi zao kwa pamoja.

Na Tanzania na washiriki wake aita support Palestine movement mpaka wahusika wanaopigania Palestine state democratically watambue hadharani Hamas ni kundi la kigaidi ambalo halipo kwenye mapambano yao.

Watanzania tumeumizwa sana na mdogo wetu, mtoto wetu kuuwawa vile, mbona hawajaua hivyo mateka wa kizungu.
 
Haya majini na mashetani yanayoongezeka sehemu yao ni kuzimu then motoni..atakipindi cha Nuru na sodomo na gomora mashetani walikuwa wengi..ndio route hiyo..Jesus Christ is the only way to heaven..period
 
Hao washenzi si ndo kila siku mnashinda makanisani na misikitini kuabudu kama wao. Acheni ujinga nyie weusi. Tengenezeni mfumo wa imani wa watu weusi na kianze kuthamini vya kwenu.

Maana kuna wajinga hapa wanajifananisha na hao wahuni wa Israel na hao wahuni wa hamas.

Tuache utumwa, tukatae ushenzi wote ulioletwa na hao washenzi.
 
I sympathized with the Palestine people, but this had me rethinking.
Nashangaa sana watu wanaunga mkono wa Watu wanaitwa Wapalestina, Kama mtu amewahi sikia kizazi kimelaaniwa basi Watu wanaitwa Wapalestina ni mfano.

Mwaka 1948 nchi karibu zote duniani zilikuwa zinatawaliwa na Wakoloni,
Israel ilikuwa na Watu wa Jamii mbili, Wayahudi na Waarabu, Waingereza kwa Hekima wakaigawa nchi sehemu ya Wayahudi na Waarabu.

Waarabu wakapewa Jordan, Wayahudi wakapewa Israel, ila hao watu wanaitwa Wapalestina wakakataa, Wakapigwa na kupigwa miaka ya 90 Israel ikawapa offer ya kuunda nchi yao na 2005 Israel ikaondoka Gaza, likatokea kundi ndani yao linaitwa Hamas likakataa na kuwaua vibaya sana wenzao wa Fatah, Israel iliacha Green house, nyumba, viwanda kila kitu kwa nia njema, wakavunja wakaaribu wakaanza kuishi kama omba omba,
hadi October 7, Wakaazi wa Gaza karibu laki 3 walikuwa wanatoka Gaza kwenda Israel kufanya kazi ambapo walikuwa wanalipwa mara 10 ya Gaza
 

View: https://youtu.be/9f64YFwRc6c?si=F8YOZx5aGCvRhQWr
 
Too late
 
Israel shikilia apo apo. Ao Jamaa ni magaidi na dunia inatambua

Eet walah kubalu..ya nnyooko..

Inatia hasira kweri.
 

Hamas na mfano wao mbona wanapingwa sana na Wanachuoni na Masheikh wanaofuata njia ya Salaf. Njia zao na misimamo yao Hamas na mfano wao inapingwa. Njia zao zisizofaa umeona zinavyosababisha madhara kwa waislam huko Palestine? Damu ngapi zimemwagika? Mali kiasi gani zimeharibiwa?

Kwa njia zao zisizofaa hao Hamas, mazayuni wanaitumia hiyo kama fursa ya kuwabamiza zaidi watu wanyonge wasio na hatia yoyote.

Allah awanusuru ndugu zetu wanyonge kabisa wasio na nguvu huko Palestina.

Aameen.
 
Sasa nimeelewa kwanini Israel wanaua hawa mbwa bila huruma. Nasema ua mpaka watoto wao maana ni magaidi matarajiwa. Shenzi kabisa
Allah awaharakishie ndugu zako mazayuni adhabu yao na awanusuru ndugu zetu wanyonge wasio na uwezo wa kujitetea walioko
Palestina . Ameen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…