Unaweza kuta CDM wabamalizana wao kwa wao, kwa maana hii dunia iache tu.
 
Wewe tena uyo aliyefariki alipaswa kuwa mtoto wako
 
Moderators najua wamelala au hawajafika kazini lakini huu uzi utafutwa na ban utapigwa.
 
Hana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.
Wana CCM acheni kuua wapinzani nao ni binadamu kama sie tu
 
CCM walichukua hatua gani mtu apigwa risasi mfano lisu wapigaji wakosene unaona ni sahihi
 
Mimi nafahamu kuwa Waisrael ni weusi tofauti na ninaowaona leo...

Kwa hiyo Balozi alisemaje kuhusu vijana wetu ambao tulifahamu kuwa wametekwa kumbe wameuawa?
 
Msiba usiomiza ni wa jirani yako ulichokisema kitakuja kutokea kwako japo hutakifungulia uzi kutujuza kwa uchungu utakao kugubika tusubiri muda!
 

Mkuu utakuwa umesahau labda...

Katika hao wote ilipigwa kelele kubwa mno toka kwa watu binafsi, taasisi za haki za binadamu na hata familia za wahanga...

Hadi hivi karibuni tu familia ya Azory imetoka kupeleka kilio kwa Mama Samia kuomba wajue ukweli wa alipo ndugu/mtoto wao...
 
Unasikitisha sana kuhalalisha mauwaji ya yule dogo na yanayofanywa na ccm...labda ww ndo hupiga kelele kuhusu mauaji ya Mawazo wa Geita, Mwangosi wa Iringa, Ben saanane, Azory Gwanda na Daniel John.

Watu walipaza sauti lkn ccm ya JPM ilichukulia poa tu, hv inaingia akilini kweli kwamba kwa sababu huku ccm ya magufuri iliua wana chadema bc mauaji ya mtanzania mwenzetu tuyachukulie kawaida? Acha wenye kupaza sauti kuhusu yale mauaji wapaze na unayeyafurahia endelea kuyafurahia kwn hata wkt wanachadema wanauawa pia yawezekana ulifurahia japo kuna watu tulilia.
 
Kwahiyo wewe ndio unasema kwa niaba ya serikali ya israeli au..?
 
Huna Akili ata moja wewe
 
Ingelikuwa Mollel ni Raia wa Marekani /Israel /EU kafia Africa ungeona kasheshe yake ila kwa kuwa ni mtanzania utasikia "serikali italipia mazishi, ndugu zake watapelekwa Israel "

Kuna wakati najiuliza hivi tuna uhakika thamani ya mtanzania ni sawa na Mmarekani?
 
Hapa kuna maswali muhimu machache tu, Kwanza kuna chombo au family waliothibitisha kuwa anayeonekana kwenye video ndio mtoto wao? video hii nani ameitoa? je kwanini leo sio Oct? je mwili wa marehemu uko wapi? ukitoa haya maswali. Mimi binafsi kwa uchunguzi wangu na vyanzo vyangu tumeangalia hii video lakini matamshi ay lafudhi ni ya watu wa North African na imelengwa lile tukio lilitokea Libya na sio Israel. Gaddafi askari wake wengi aliajiri kutoka nchi za African kama Chad na Niger na baada ya kuuliwa ikawa wale jamaa wa Benghazi na hasira na mamluki hawa wa Chad na Niger wakawa wanawauwa baada ya kuwa wanakimbia. Hasira hizi ni kwa kuwa walikuwa watiifu sana kwa Gadaffi na walikuwa na power sasa ikawa kama kisasi. Kikubwa wahusika waje waseme anayeonekana ni mtoto wao au sio? kwa maoni yangu wale ni askari wa Libya waasi, kwa maneno na mavazi yao ni waasi wa Libya kutoka Beghazi.
 
Wewe huyo kauliwa na wajomba wa Mungu zenu, kwanza hiyo picha kwanini itoke sasa?

Nani kaitowa?

Wacheni ujinga, miaka zaidi ya 2000 mazayuni hao wanawaaminisha wao wajomba wa mungu zenu hamstuki basi hata huo ujinga mliotumiwa nao hamstuki?
BIBI HUNA AKILI KICHWA CHAKO KIMEJAA NYAA
 
Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.
Taarifa imetolewa na Israeli kwa mara ya pili kuwa ameuwawa na Hamas lakini hao hao Israeli mara ya kwanza walituambia kuwa joshua ametekwa na Hamas. Na hii taarifa ya pili inaonesha kuwa joshua aliuwawa siku ya kwanza tarehe 7.10.2023. Swali linakuja kwanini Israeli hawakutoa taarifa ya kifo siku za mwanzo? Je kama alitekwa na Hamas amefia Gaza au amefia Israeli? Hii clip tangu tarehe 7 ilikuwa wapi? Nani alirekodi? Kwanini iachiwe leo? Kama waliirekodi hamas Israeli wameipataje hii clip? Maswali bado ni mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…