FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mmefika wewe na nani huyu kauwawa na watu wenye rangi kama yakeHv tumefika hatua hii ya kulinganisha video na kuona kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmefika wewe na nani huyu kauwawa na watu wenye rangi kama yakeHv tumefika hatua hii ya kulinganisha video na kuona kawaida
Wewe tena uyo aliyefariki alipaswa kuwa mtoto wakoWe jamaa ni mpumbavu kinoma, yaani unaona kusikitika kuhusu ile video ni unafiki kwa sababu ya kupotea kwa Ben saanane? Yaani mtu asisikitike kwa unyama unaoonekana kwenye ile video kisa ya kuuliwa azroy gwanda? Punguza upumbavu huo.
Kutokusikitika kwenye kifo kimoja haimaanishi usisikitike kwenye vifo vyote.
Ila nitaonekana MuislamUmezungumza ukweli mtupu!!!!
Wana CCM acheni kuua wapinzani nao ni binadamu kama sie tuHana akili, ana halalisha ujinga kuelezea point muhimu. Point anayo ila amehalalisha point yake kwa kuongea pumba.
CCM walichukua hatua gani mtu apigwa risasi mfano lisu wapigaji wakosene unaona ni sahihiWewe jamaa umekosa ubinadamu sababu siasa zimekuingia sana akilini.
Hujaona kelele zilizopigwa humu mitandaoni na baadhi ya magazeti na majukwaa ya mikutano mbalimbali juu ya vifo vya ulio wataja?
Sasa kwanini unataka tusilaani na kifo Cha huyu dogo Joshua?
Mimi nafahamu kuwa Waisrael ni weusi tofauti na ninaowaona leo...Watanzania wengi hawajui kuwa Israeli haikuwepo kabla ya 1948 na kwamba wale waliopo pale ni wazungu kutoka ulaya walioletwa na Umoja wa mataifa. Hii ni habari ambayo Israeli hataki watu wajuwe hasa mataifa ya huku ushenzini ili waendelee kupata uungwaji mkono kwa kupitia Bibilia wakati asilimia zaidi ya 67 ya raia wa Israeli hawaamini Mungu akiwemo waziri wao mkuu wa sasa Benjamin Netanyahu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Nje ni kipara naye kwake kila teuzi ni fursa. Anapiga chapaaBalozi wa Palestina yupo Dar kwanini asiitwe aulizwe.
Vita ni Vita mzee....acheni uzwauzwa ata wewe ukienda uko unaweza ukarudi mwili tu bila uhaiNadhani huu utopolo umeandika hivi kwa sababu aliyeuawa ni Mkristu,
Msiba usiomiza ni wa jirani yako ulichokisema kitakuja kutokea kwako japo hutakifungulia uzi kutujuza kwa uchungu utakao kugubika tusubiri muda!Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Kiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
Kwahiyo wewe ndio unasema kwa niaba ya serikali ya israeli au..?Acha unanzi wa kijinga mkuu,kwa shambulio lilofanyika October 7,watu wameuliwa zaidi ya 1300,wengine wamechukuliwa mateka na tension ya kujilinda ni kubwa,huo muda wa kufanya utambuzi haraka haraka ungewezekanaje?
Ilihitaji muda kujua nani na nani amekufa,na nani nani ametekwa.
Huna Akili ata moja weweKiukweli kuhusu ile video mimi hata sijaona panapohitaji kusikitika naona jamaa amefariki fair tu kisitumiize kuona VIDEO ya MAUAJI yake tena naona ameuwawa kawaida sana walimuhurumia
Je umeshawahi kujiuliza mfano tungeona VIDEO ya MAUAJI ya ALPHONCE MAWAZO CHEMU tungejisikiaje nani alipaza sauti mawazo alipouwawa kule busanda?
Kupotea kwa BEN SAANANE nani aliyehoji aliko? Na serikali ilichukua hatua gani?
Kupigwa bomu kwa AZROY NGWANDA nani aliywajibishwa? Au kupaza sauti au hadi nao tungeona video zao
WATANZANIA TUACHE UNAFIKI LIKITOKEA NCHINI KWETU TUNAKUWA WAKIMYA YAKIWATOKEA WENGINE MNATOLEA MACHO
BIBI HUNA AKILI KICHWA CHAKO KIMEJAA NYAAWewe huyo kauliwa na wajomba wa Mungu zenu, kwanza hiyo picha kwanini itoke sasa?
Nani kaitowa?
Wacheni ujinga, miaka zaidi ya 2000 mazayuni hao wanawaaminisha wao wajomba wa mungu zenu hamstuki basi hata huo ujinga mliotumiwa nao hamstuki?
Taarifa imetolewa na Israeli kwa mara ya pili kuwa ameuwawa na Hamas lakini hao hao Israeli mara ya kwanza walituambia kuwa joshua ametekwa na Hamas. Na hii taarifa ya pili inaonesha kuwa joshua aliuwawa siku ya kwanza tarehe 7.10.2023. Swali linakuja kwanini Israeli hawakutoa taarifa ya kifo siku za mwanzo? Je kama alitekwa na Hamas amefia Gaza au amefia Israeli? Hii clip tangu tarehe 7 ilikuwa wapi? Nani alirekodi? Kwanini iachiwe leo? Kama waliirekodi hamas Israeli wameipataje hii clip? Maswali bado ni mengi.Swali la msingi. Kwanini Hamas wamuue mtz.
Tungetuma kikosi kimoja pale Gazza, ili HAMAS washike adabuUnadha
Unadhani sirikali ya Tanzania inaendeshwa kijinga kwenye suala hili??