She Quoted you
JF-Expert Member
- Oct 19, 2020
- 687
- 1,184
- Thread starter
-
- #81
Yes mshahara unalipwa kulingana na skills ulizonazo na gain unayoinufaisha kampuni/organisation. Na wala sio taaluma yako kwenye makaratasi.Why not? Kuna mtu namfahamu, mtanzania pure, analipwa zaidi ya $10,000 kwa mwezi
Mshahara tu huo.
Inawezekana sana sio lazima wazungu ndo wawe zaidi all the time
Mwezi ujao inshaalaah nitakutumia payslip pmNinachopinga ni hiki : Kwa mkoa WA kigoma watu pekee wanaolipwa pesa kubwa kama ya mtoa uzi ni wazungu kutoka UN waliopo kambi ya wakimbizi nje ya hapo hakuna NGO inayotoa malipo zaidi ya million tano Kwa wazawa
Zote dini za Mungu mmojaKanisan na alhamdulillah wap na wap kijana
Kigoma hakuna NGO ya kukulipa Mshahara wa Milioni Kumi acha UONGO,hata kama ni Mashirika kama WFP,UNHCR,DRC,CWS,IOM,Good Neighbors lakini bado Milioni Kumi UNADANGANYANaombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Ebu fafanua vizuri bwana, ni milioni kumi kwa mwezi, kwa mwaka au kwa maisha yako yote, au ni utani tu?Naombeni ushauri jaman.
Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kansan.
Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi NGO moja huko kigoma ambayo ntakuwa nalipwa million 10.
Nipo kwenye maandalizi ya kuripoti kazini, Naombeni ushauri wa jinsi ya kupanga mipango gani ya kuwekeza kupitia mshahara wangu ili mimi na familia yangu yote, ikiwezekana hata ukoo tuutoroke umasikini daima. Hata nikifukuzwa kazi baadaye nisirudi kwenye haya maisha ya shida.
Sipingi ila sio kigoma, amesema kigoma Sasa kigoma NGO ipi hiyo yenye tawi au ofisi kigoma itoe pesa hiyo. Kwa dar Es salaam hiyo ipo sikatai yapo makampuni kama ya oil na gas (Total)Why not? Kuna mtu namfahamu, mtanzania pure, analipwa zaidi ya $10,000 kwa mwezi
Mshahara tu huo.
Inawezekana sana sio lazima wazungu ndo wawe zaidi all the time
Fanya vyote nusu kwa nusuHii nimeiweka kwenye droo kwanza.
Lakini pia mkuu hizi hatifungamani,hisa pia huongezeka thamani na unaweza kuombea mkopo pia.
Hazihitaji usimamizi pia.
Na uzuri wake sio kubaharisha unakuwa na uhakika wa muongezeko wa thamani kwa kiasi kadhaa.
Ni kweli ardhi inaongezeka thaman lakini kuijua ipi itaongezeka na ipi haitaongezeka ndiyo mtihani.
Kuna ndugu yangu mwaka 98 aliambiwa achague kiwanja Mbagala au Goba, yeye akachagua Mbagala rafiki yake akachukua kile cha goba kwa laki 2.
Hakupenda Goba maana ilikuwa mapori tu kidogo mbagala kumechangamka.
Yule rafiki yake alikuja kuuza pale goba kwa million 40
Hasbunallahu wa ni’mal-Wakil.Mbona wewe muasherati, hukumbuki juzi ulinipa 0713
Na wewe ni MUONGO,Mashirika yanayolipa vizuri Kigoma ni CWS(Church World Service,IOM na WFP kisha UNHCR,naongea kutokana na uzoefu nilionao maana Wafanyakazi wote wa Mashirika tunajuana,tunakula na kunywa pamoja hapa MAKERE karibu na Kambi ya Wakimbizi NyarugusuNinachopinga ni hiki : Kwa mkoa WA kigoma watu pekee wanaolipwa pesa kubwa kama ya mtoa uzi ni wazungu kutoka UN waliopo kambi ya wakimbizi nje ya hapo hakuna NGO inayotoa malipo zaidi ya million tano Kwa wazawa
Biashara ya hisa , bonds inafanywa na mtu ambaye ana excess . Kitendo Cha kuweka fedha yako fixed kwa kipindi kirefu wenzako wenye akili wafanyie biashara na kukulipa kafaida ni matumizi mabaya ya ubongo kwenye nchi yenye fursa ntyingi rahisi na zenye faida kubwa.Wekeza UTT Amis, nunua Bonds kwenye banks nk
Bibi kwahiyo aanze kusali kiarabu na jina achukue la kiarabu....Uafrika aukane????Itakujengea nidhamu ya maisha.
Uwe Muuislam wa kuufata Uislam na mafundisho yake, siyo kuwa Muislam jina.
Soon ntakuwa huko..tutaunganaNa wewe ni MUONGO,Mashirika yanayolipa vizuri Kigoma ni CWS(Church World Service,IOM na WFP kisha UNHCR,naongea kutokana na uzoefu nilionao maana Wafanyakazi wote wa Mashirika tunajuana,tunakula na kunywa pamoja hapa MAKERE karibu na Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu
Na wewe muanzisha UZI kama ni kweli karibu MAKERE,nitakuwa mwenyeji wako,njoo PM
Mkuu na wewe unaamini mengi alianza na mbuzi???Biashara ya hisa , bonds inafanywa na mtu ambaye ana excess . Kitendo Cha kuweka fedha yako fixed kwa kipindi kirefu wenzako wenye akili wafanyie biashara na kukulipa kafaida ni matumizi mabaya ya ubongo kwenye nchi yenye fursa ntyingi rahisi na zenye faida kubwa.
Nunua shmba kubwa ,weka Fensi , Kila mwezi nunua ngombe waliokokonda huko vijijini, weka kijana ,mlipe lakini 2 kwa mwezi, wapige chanjo za minyoo lisha mashudu, uza baada ya miezi 4. Kabla hujawapeleka sokoni wasafishe vizuri na uwakaushe wangae kama mengi alivyoelezea kwenye kitabu chake alivyoanza utajiri wake kwa biashara ya mbuzi
Ahahah....Ununue bandari madam. Ahsante.
Asante,ntalifanyia kaziKuondoa umasikini kwa ndugu ni kuwapa ujuzi wa kazi za ufundi kisha wampe mtaji wengine wapeleke nje wapate uzoefu mpya
Duly notedkila laheri mkuu,umasikini na utajiri mtu anazaliwa nao, unaweza shika m100 lakini bado ukaendelea kuwa masikini. chamsingi tu kuwa na nidhamu ya pesa afu uwe na miladi endelevu
Ndio na inawezekanaMkuu na wewe unaamini mengi alianza na mbuzi???
Hii naapa kwa Allah lazima ntafanyaBiashara ya hisa , bonds inafanywa na mtu ambaye ana excess . Kitendo Cha kuweka fedha yako fixed kwa kipindi kirefu wenzako wenye akili wafanyie biashara na kukulipa kafaida ni matumizi mabaya ya ubongo kwenye nchi yenye fursa ntyingi rahisi na zenye faida kubwa.
Nunua shmba kubwa ,weka Fensi , Kila mwezi nunua ngombe waliokokonda huko vijijini, weka kijana ,mlipe lakini 2 kwa mwezi, wapige chanjo za minyoo lisha mashudu, uza baada ya miezi 4. Kabla hujawapeleka sokoni wasafishe vizuri na uwakaushe wangae kama mengi alivyoelezea kwenye kitabu chake alivyoanza utajiri wake kwa biashara ya mbuzi