Nimepata kazi ya millioni 10, nifanyeje kuutoroka umasikini?

Mtoa mada ni kweli Msimbishie,
Mi mwenyewe nimeacha kwenye hio NGO ndio akapata yeye baada ya kutosheka na hizo pesa, na mshahara unaongezeka kila mwezi....
Mpk wakanitumia msg mshara ni mkubwa niwe nachukulia BOT kama mwenzangu Raisi.
 
kansan ndo nini?
mr.alhamdullilah!!!
 
Ni swala la muda tu' kama kazi haita ota mbawa basi hata ukiipata hiyo ajira hautadumu(utapunguzwa)

Inaonekana hauna utulivu kbs na pengine Kila ndgu ushamtangazia kama sio Kila mtu hapo mtaani kwako. Sasa utakomeshwa
 
We jidanganye. Kesho, utakuja hapa ukiomba nauli. Hapa bila shaka unatafuta kiki
 
Ni swala la muda tu' kama kazi haita ota mbawa basi hata ukiipata hiyo ajira hautadumu(utapunguzwa)

Inaonekana hauna utulivu kbs na pengine Kila ndgu ushamtangazia kama sio Kila mtu hapo mtaani kwako. Sasa utakomeshwa
Kwanin unafikiri hivi? Kwakuwa nimepost huku?
Nimepost huku kwakuwa hamna mtu anayenijua.
Watu wanaonijua wengi nimewaambia nimepata kazi ya laki4 kule kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…