Nimepata mshangazi wa miaka 39 anataka niishi naye kwake umri wangu ni miaka 35

Kaza moyo kaka ILO ni jini makata ila kama unapenda kuwa zoba ni juu Yako ila kiukwel utapoteza muelekeo
 
Tukubaliane mshangazi unatakiwa uwe umempita kijana miaka mingapi tuseme kijana ana 20
Mwanamke mwenye anaweza kukuzaa ( hapo amekuzidi angalau miaka 13 au 14 maana mwanamke wa umri huo ana uwezo wa kuzaa) sasa miaka 3 ushangazi huo wa damu au?
 
Miaka 35 badala upambane kukuza uchumi wako! Siku hizi Miaka inaenda sana watu wanaongezeka umri ila hawakui kiakili🚮
 
miaka 35 kwa 39 hana ushangazi wowote, issue hapo ni huo usingo Maza wa mtoto mwenye miaka 19 ninachokiona hapo ni kula kuku na mayai yake, kama mwanae ni mwanaume hapo imekula kwako
 
Maamuzi ya kuishi kwa mwanamke tena ambaye si mkeo na ana familia na mwanaume mwingine yanahitaji kujitoa ufahamu.
 
Hongera kwa kupendwa Ila tatizo ni mtoto wa kiume Tena 35 kuishi kwa mwanamke
 
Kibongo bongo huyo ni mshangazi au mwanadada?
 
Manyara vijijini kitakulamba utauponza. Pambana usikate tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…