Arch Barrel
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 577
- 1,314
Miaka 35? wewe nduku kwelKatika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Qu-ma-ma-yoMiaka 35? wewe nduku kwel
Huyo muhenga hataki kuzeeka 😹😹Hili hata Kama ni kafara mganga lazima agome
Wewe mjomba bhana na huo mshangazi wote nyie magazeti ya jioni..!! 😹😹🤣Shenzi mara tatu watu wazima ni kaka zetu wa kuanzia 1978 ujue mtu wa 78 sahv ana miaka 47 Huyu Sasa ndo mzee kijana
Jamaa ana umri sawa na muda khamenei amekuwa supreme leader wa Iran lakini bado anajiona kichangaand at 35 kweli anaita 39 mshangazi? dunia haishi vituko
Tukubaliane mshangazi unatakiwa uwe umempita kijana miaka mingapi tuseme kijana ana 20Mambo ya watu wa 20`s sasa huyu mzee wa miaka 35 umri wa kuitwa babu kabisa
Sasa mtu aliyekuzidi miaka 3 ushangazi unatokea wapi?
Miaka 35 hata kwenye ujana umeshapita wewe sasa ni mtu mzima kwenda kulelewa huo ni ujinga, ina maana hata akitokea mbaba mwenye hela akitaka kukuweka kinyumba unaweza kukubali.Wewe tunakuhesabia siku tu utapakwa futaKatika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Pumbavu kabisaKatika pita pita zangu hapa na pale nimepata mwanamke mwenye miaka 39 hajawahi kuolewa ana mtoto wa miaka 19
Ananiambia nihamie kwake tuanzishe maisha nichek namimi nilivo jobless wakuu ktu ambacho namiliki ni premio ya kizamani nataka nihamie nayo kwake Nina biashara pia nataka niiuze inanipa hasara
Nichukue hela hiyo nibadilishe biashara, kama ya 2.5M,
Je wakuu uamuzi wa kuishi kwa Nina wasiwasi na dharau Za wanawake, istoshe anasema hawezi Kuja, kuishi mkoani kwangu sababu yeye kashajitengeneza kibiashara, huko mkoa wake
Biashara yangu inalega lega vipi nimfate au nitauponza yeye yupo manyara vijijini? Ushauri wenu ni muhimu 🙏
Ndo maana huna akili.Babu mimi kijana 😂kabsa mtoto wa 1989
We mwenye nazo mkuu 🤣Ndo maana huna akili.
Kwani Unaijua sura yangu vizuri ukiniona Ata Nikisema Nina miaka 22 huwezi kataa mimi ni mtu wa mazoezi sana sijachoka chokaWewe mjomba bhana na huo mshangazi wote nyie magazeti ya jioni..!! 😹😹
Kwanini mkuu toa na sababuUncle usipate tabu we endelea naye
Vitisho tu hivo mkuuSikio la kufa
Kapanga? Wewe nawe sasa mdananda 😹😹Ni kweli mkuu yeye kapanga, kwo nikienda kwake kitu nitakachokua namzidi tu ni kumiliki gari mkweche
Songa mbele mkuuVitisho tu hivo mkuu
Swala la kusema ni agemate Ebu acha hzo kipindi Nina Miaka 25 kutongoza mdada wa 22 anasema yeye ni mkubwa nitafute watoto wa miaka 18 17 16 ety Leo tupo kwenye 30 ndo useme tunalingana how come?Kapanga? Wewe nawe sasa mdananda 😹😹
Hapo wote mnadangiana agemate mwenzio anakuvutia kwa karibu umsaidie kulipa kodi 🤣