Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Nanukuu:
"Watu wote wanaokufa na kuzikwa, wanakuwa maiti, kwa maneno mengine mizoga, na mizoga yao inafukiwa.✅

Hizo sherehe za kuombewa na kasisi, mchungaji, Shehe, ni maigizo ya kuwafariji nyie mliobaki, aliyefariki hayo kashawaachia nyie yeye hata hajui huko."✅
Sehemu iliyobaki (sikuinukuu)kwenye komenti yako; hayo ni mambo ya Imani. Na Imani ya mtu sio rahisi kuibadili. Mimi naamini kifo sio mwisho kuna maisha mengine baada ya kifo.
 
Inatia faraja kusoma vijana wengi wa kiafrika wakiendelea kushinda hofu tulizopandikizwa utotoni za lidude la kutisha litakalochoma watu moto kwa kutofuata amri ambazo zimeandikwa na vibabu vya kizungu na kiarabu.

Ukristo, uislamu na dini zote 'za kuja' ni utumwa wa kijamii na kiutamaduni kwa muafrika.
Tuendelee kuwalinda watoto wetu dhidi ya ukoloni mamboleo na upotoshaji wa dini za kuja.
 
Asante kwa uelewa wako uliotukuka maana watu weusi wameletea dini ila wamelikumbatia kuliko aliewaletea na kulitunga.
 
Hatuhitaji dini kufundisha watoto upendo wala heshima na ubinadamu.

Mtoto anapaswa kuelewa kwamba kusema uongo, kuiba au kuua ni matendo mabaya kwa sababu ya madhara yake kwa binadamu wengine. Si kwa kuwa yanamchukiza mungu wa kwenye ngano za wayahudi.

Pia, socialization si kanisani au msikitini tu.
Watoto wana-socialize shuleni, mitaani na weekends wanaenda clubs za hobby zao.
Wanajenga network bila kutishwa na mipumbavu ati watachomwa moto na yule Mungu mkatili anayeangamiza viumbe kwenye ngano za waarabu, wayahudi na wazungu.
 
Nani hao wana tabia hiyo? mimi ukoo wangu tunajaliana kwa shida na raha iwe harusi au misiba tunachangia hata popote alipo hadi usafiri hata akifa popote au harusi popote huko kwenu ambako hamfanyi fanyii hivyo mna laana na pepo la umasikini mabwege nyie
 
Asante kwa uelewa wako uliotukuka maana watu weusi wameletea dini ila wamelikumbatia kuliko aliewaletea na kulitunga.
Hawa tutaenda nao taratibu tu, watu wamezaliwa kwenye utumwa wa dini, wanaona ni kawaida tu.
Ni kama vile mtoto wa mtumwa anavyoona utumwa ni kitu cha kawaida.
Inahitaji akili ya ziada kujitathmini na kujikomboa.
Mpaka sasa watanzania/waafrika wengi bado hawaelewi hata mwanzo wa hizo imani.. wao wanaamini tu.
 
Kama hao waliokuwamo kwenye ndege we unahisi MUNGU hakujua ni wafuasi wake why aruhusu ndege kupotea.
Stuka neno au kiumbe Mungu hutengenezwa kichwani mwako kwa msaada wa vitabu na ufuasi wa dini husika.
We huoni kwa waislam Mungu kaenda kusema Nguruwe ni dhambi na kwa wakristo Mungu kawaambia haina shida na pia kuoa wake zaidi ya mmoja ni dhambi ila kwa waislam karuhusu sasa huyo Mungu ni yupi na hao Mungu wapo wangapi maana dini hapa duniani ni nyingi.
Twende mbele turudi nyuma waAFRICA vichwa vyetu vina matatizo tulikuwa na dini zetu za asili tukaambiwa ni ushirikina tukaziacha tukabeba za wazungu na waarabu.
 
Wewe baki na unachoamini imani ni personal affair
.Acha waaaminio chochote waendelee wawe waislamu au wakristo au wapagani kama wewe

Mind your own business and your own beliefs achana na wengine bwege wewe
 
Wewe baki na unachoamini imani ni personal affar
.Acha waaaminio chochote waendelee wawe waislamu au wakristo au wapagani kama wewe

Mind your own business and your own beliefs achana na wengine bwege wewe
Matahira huwa yapo kama wewe badala ya kuandika hoja yanacomment vihoja na matusi
 
Acha bangi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…