Nimepiga marufuku watoto wangu kwenda kanisani

Mzee fulani aliwahi kusema: "Akili za kupewa; changanya na za kwako".
 
Mkuu una tatizo kubwa la afya ya akili, na unahitaji tiba ya haraka sana kabla ya mambo kukuharibikia kabisa. Fanya hima utafute kwanza mshauri wa kisaikolijia.
 
"Haya maneno aliyaongea bro mmoja ila kwa sasa is no more Ila nyakati zake za mwisho alimkiri Mungu "
Alikutana wapi na Mungu mpaka akakikiri na mimi nije?
Imani inaponya alafu yeye anatembea akiwa na mabodyguard
 
Mke wangu (yeye ni Mkristo) alijaribu kumpeleka mwanangu kanisani nilimuwashia moto mkubwa mno hakurudia tena upumbavu wa namna hiyo. Mama yangu mzazi (yeye ni muislamu) mwanangu alienda kumtembelea akakaa kwake wakati wa likizo eti akampeleka madrasa. Aisee siku niliyokwenda nikaambiwa eti mtoto amekwenda madrasa. Nikaomba nielekezwe madrasa ilipo. Nikaenda nikamchukua na kumsihi mwalimu wa madrasa asimpokee tena mtoto yule.

Nikarudi kwa mama na kumwambia wazi kuwa sitaki mwanangu ajifunze mambo ya dini.

Huu upumbavu unaoitwa dini siwezi kuruhusu mwanangu awekwe chini afundishwe. Sitaki kusikia kuhusu huyo mnaemwita Yesu wala yule wanaemwita mtume. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini huo upuuzi ulioandikwa kwenye hivyo mnavyoviita vitabu vitakatifu.
 
Yeah! Umewapiga marufuku kwenda kanisani kwakuwa unayo Mamlaka ya kufanya hivyo. Sasa Je; umekumbuka pia kuwaamuru kwamba badala ya kwenda kanisani waende wapi? Vinginevyo usishangae kuona wanaenda kule ambako hukutegemea wataenda kwani ni lazima kuwepo na mahali pa kwenda.
Action and Reaction are equal and opposite. (Newton's third law).
 
Zito ameuawa lini?

Aisee RIP
 
Mimi na wewe basi ni ndugu sema hatujajuana kwa sura.Itikadi yako nimeipenda ipo kama yangu
 
Sio tu hivyo...

Kwanza alikuwa ni Mungu mbinafsi alitaka kuwatenganisha na ukweli viumbe wake.

Imagine miaka yote walikuwa wakiishi wakiwa uchi lakini walikuwa hawajui, ina maana alikuwa anawachungulia yeye tu.

Shetani ndio aliyekuja kuwapa access kwa kuwaambia wale tunda.

Waliokula tunda ndio wakawa na uwezo wa kujua mema na mabaya.

Kwa hiyo kabla ya hapo Mungu hakutaka watu wajue mema na mabaya.

Then bado credit za kwamba Mungu anampenda sana binadamu zinaenda kwake badala ya shetani.
 
Acha kuitumia Newton's third law of Motion vibaya kwa hiyo wasipoenda kanisani ni lazima na mimi wanijibu kwa kwenda kokote?
Mimi watoto wangu najifunza kuchangamana nao tunacheza game la kutype tunatoka out nao kila week end huku nawasoma akili zao huku nikiwasogezea vitabu vinavyoendana na rika zao then tunadiscuss nini kajifunza.
Sio niwaruhusu wakasome eti MUNGU aliumba binadamu ili wakaujaze ulimwengu alafu akaumba Wagumba tena wadaf...
 
Ni afadhali waende kanisani sasa hivi wakiwa wadogo ili waelewe nini kinafanyika huko, baadae wachuje vizuri nini wanataka kuamini.

Kuwanyima uhuru wa kuabudu sasa hivi baadae watakutana na hawa matapeli wa kidini itakuwa rahisi kwao kutapeliwa.

Kama ni catholic waache tu waende, huko zaidi ya michango na kulazimishana jumuiya angalau hawana mafundisho ya ajabu ya kutishana.
 
Kwanza tu ile story ya bustan ya Eden ipo kifala fala sana eti Mungu aliwaumba Adam na Eva na akawapa maskani ya Eden then humo humo akaruhusu na li shetan liishi mbaya zaid udanganyifu unafanyika yeye sijui alikuwa kalewa ama kalala mpaka udanganyifu wa kula tunda unaisha na yeye eti anatokeza na kuanza kupanic na kurusha ma laaana eti nyoka utapondwa kichwa,mwanaume utatafuta kwa uchungu na mke utazaa kwa uchungu na dhambi ya asili ikazaliwa.Sasa najiuliza alikuwa na mpango gani kumleta shetani pale EDEN kama sio alitaka kutuchoma moto
 
Umekwisha na kizazi chako chote.
Rudi kwa Yesu mwokozi uokoke wewe na kizazi chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…