Nimepigwa na kitu kizito, mwanamke nayetaka kumuoa nimebaini hajatulia

Unampuuza kama umebaini alichokiongea ni uongo.

Vinginevyo ni kufumba macho kwa lengo la kukwepa ngumi ya uso.
Mfano; unafuga bata, mfuatiliw maisha yake hadi kule anakokula chakula then mchinje umle 😷!.
 
Shida nikwamba nilishatoa mahari kila kitu mpaka kumvisha Pete bado ndoa tu ila ndio nakutana nahii ishu
Acha akili za ajabu. Unaweza kufungua duka leo usiuze chochote na usiku likaungua moto. Kuanza upya si ujinga. mahali yako isikuingize pabaya tukakosa uzi wako wa kuomba ushauri hapa jf.

Tuma kwanza video tuhakiki kama ni yeye hata kama simjui.
 
Nimesoma uzi Kisha nikasoma comment za wadau... Ushauri wangu ni huu:
1. Nitumie hako ka video nikusaidie kuangalia kama kweli sio editing
2.Muulize vizuri huyo jamaa aliyekupa taarifa akwambie wakati anamgegeda alimfanya upande mmoja tu au demu anampa na nyuma?
Majibu utakayopata njoo nikupe ushauri
 
Eeh ndiyo!.
Basi una tatizo mahala...

Hii ishu sio ya kawaida na hata mwanamke wenyewe usipochukua action kwa jambo hilo anaweza akaanza yeye kukuacha kwasababu hata yeye anaamini kosa hilo sio rahisi kusamehewa.

Anaweza kufikiria kuwa una mpango wa kufanya revenge katika namna ya kikatili kwa hiyo bora ajiepushe mapema kwa kukuacha.
 
KATAA NDOA kuna ingizo jipya huku wahini kbl wapinzani hawajamdaka!
 
Mkuu mbona kama hii code nimeifungua
 
Sahihi kabisa, ndoa lazma watu wawekane chini ila ukitaka hayo utachelewa sana mkuu tia mkono kizani tabia tnarekebshana tu
 
Acha ujinga fazaaa. Dem umeona video analiwa ndio unataka amuoe?

Wewe ndio Fala wa kwanza hapa Tz
 
JF bhana! Yaani katika mazingira kama hayo eti mtu bado anashauriwa aoe!

Mkuu choice ni yako, endekeza uchungu wa mahari na pete (ambayo huenda ulipiga magoti kabisa kumvika huyo malaya😭) uoe balaa uue uende jela au ufe mapema uwaachie wahuni waendelee kuipiga (maana kama ulivyosema, hivyo tu tayari una presha), au upige chini mara moja na kufanya maamuzi sahihi kwako, kwa wategemezi wako na kwa wote wanaokutakia mema.

Hilo jambazi hamnamo mfumo, malaya huwa hastaafu kabla hajazeeka, anapumzika tu kupisha upepo fulani.
 
Acha ujinga fazaaa. Dem umeona video analiwa ndio unataka amuoe?

Wewe ndio Fala wa kwanza hapa Tz
Mimi nimecheka sana kwa comment yako baada ya kugundua najibishana na kijana wa rika gani.

Hii dunia inatulazimisha tunavyozeeka tutumie busara kwa kila jambo hata kama katika ujana wetu nasi tulikuwa ni wahuni na tunajua kila kitu.

Ukitaka uende sawa, katika mambo yote ambayo watu wamekwazana na kuhitaji busara zako ili kusuluhisha jambo, jiepushe kusikiliza maneno ya upande mmoja na kufikia kutoa maamuzi kama ilivyo katika mada hii, je bibie tumemsikiliza, je akija hapa na kusema hizo ni fitina tu za kichuna wake, mambo hayo aliyafanya kabla ya uchumba?

Turudi kwenye agenda yetu sasa:
Mleta uzi ni kweli katoa tuhuma nzito juu ya mwenzake, katika baraza la usuluhishi wa mapenzi.

Hatuwezi kusimama na kutoa maoni ya kumuunga mkono bila kuwepo na utetezi wa mlalamikiwa.

Mzee wangu, mapenzi yana mambo mengi chungu nzima na hisia zetu katika mapenzi binadamu tumetofautiana, kila mtu na yake.

Maamuzi yatoke utakapokuwa umewapima kwa maelezo yao kutokana na maswali utakayowauliza na kugundua udhaifu ulipo.

Bado jiweke refa usiyeegemea upande, hapo mambo utayapeleka sawa.

Utakapoona msimamo thabiti na usioyumba wa mlalamikaji ndipo nawe uunge mkono, tena kwa neno moja tu 'sawa' bila kuingiza maneno na misimamo yako ya kimhemko.

Sisi tulishaona si mara moja, watu mnashuhudia kabisa jamaa anachezewa rafu za kutosha hadi waangaliaji mnakasirika na kumwambia ukweli jamaa, lakini mtaona hawaachani, sasa hapo nyie mnakuwa kwenye fungu gani?

Mambo ya mapenzi huwa hatushauri kuachanisha bali kuunganisha.

Na mwisho wa siku maamuzi hubakia kwa wapenzi wenyewe.
 
Nikweli inawezekana hana nia njema ila ndo kashanipa ukweli ndugu
Aliyekutumia hiyo video lazima kuna jambo lunamuumiza labda kwa kumkosa huyo binti au whatever.. sidhani kama ana nia njema kwako..au unadhani anakupenda sana haki akupe taarifa?nikwel
 
Huyo binti ni mlokole (uchwara)?

Ukinijibu hili swali nitakuja nikupe ushauri ambao kama ukiuzingatia utakusaidia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…