Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

Mimi na wewe tunaliona hilo.

Lakini serikali yetu sijui kama wanaelewa umuhimu wa kuwarejesha Watanzania waliopo kule
Afrika Kusini tayari ni a failed state. Zamani walitudanganya kuwa makaburu ndiyo kikwazo lakini mpaka sasa nadhani wengi wameshajua ukweli uko wapi. Hawa watu ni wana matatizo sana na ndiyo maana makaburu waliamua kutenga sehemu zao za kuishi kwa ustaarabu na kuwakata kuingia huko. Hata wakifukuza wageni wote bado tu hawataweza kufanya chochote. Ukienda South Afrika na kuona jini majumba na sehemu nzuri walizojenga makaburu zilivyochakaa haki ya nani utaamini kuwa mtu mweusi ni hopeless. Kuhusu watanzania waliopo huko na wageni wengine kwa ujumla ni kwamba serikali ya watu weusi imeshindwa kuongoza na kuachia watu kuingia humo kama sokoni. Na mbaya zaidi wengi ya wanaoingia huko vibaka na wauza madawa.
 
Nina voice note nashindwa kuipandisha hapa. Inawataka wageni wote kuondoka Aftika Kusini.
 
Nina voice note nashindwa kuipandisha hapa. Inawataka wageni wote kuondoka Aftika Kusini.
Sawa mkuu Nami nitajitahidi kutumia connections zangu kufuatilia hii taarifa,InshaAllah tutapeana mrejesho
 
Ninayo voice note iliyotumwa na Mtanzania anayeishi huko.

Pia nina video ya maandamano ya tarehe 18 August 2022 yaliyofanyika jijini Pretoria
Welldone mkuu hiyo video ni ya akina mama waliochini ya DUDULA umbrella walioandamana kwenda jeshini?(ya tusishituke sana uhuru wao unaruhusu mambo mengi, wameandamana kwenye jeshini kushinikiza waingie mitaani kusaidia police ili illegal immigrants warudishwe kwao na mipaka iwe migumu kupita),wengine waliandamana kwenda Ford SA kulazimisha waajiriwe!!
 
Unapotosha watu, kabla ya Dundula hao primitive black South African walikuwa na oparesheni yao waliita Shaya umtandae.
On serious note hao wajamaa huwa hawana mzaha, watu wao waliokufa ni wengi kuliko nyinyi, kwahiyo hawatanii, Raia was kigeni ambaye yupo salama South Africa ni wazungu tu, au tuseme watu weupe tu, usijidanganye nafsi yako.
 
Makwelekwele ni wageni weusi wote ukiwemo wewe hamtakiwi.

Jiulize licha ya kuteswa na wazungu ni kwa mini oparesheni zao haziwahusu wazungu?

Ni Makwelekwele hawatakiwi siyo swala una makaratasi au huna makaratasi, ukijijuwa we we no kwelekwele unabet uhai wako mwenyewe usijidanganye unless kama unaishi na wazungu upon salama.
 
Acha uongo wa kutisha watu, mimi nipo lingusenguse next time usikisie andika kitu kama una ukweli nacho, weka source rasmi kuwa by March 2023, all blacks immigrants regardless their status wawe wameondoka SA?,wale wale wabongo wa diaspora mliojaa ubinafsi, guy's ukitaka kwenda SA kujaribu maisha nenda ila ingilia mlangoni, usiruke ukuta
 
Kumbe una tatizo la upumbavu sio ujinga kuita binadamu wenzako primitive inaonyesha ni kiasi gani ulilelewa na wazazi wako, walikulea kikatili bila upendo, acha kutisha watu hakuna tamko rasmi kuhusu hilo!
 
Huenda hata vyombo vyetu vya usalama bado havina hii taarifa.
 
Kati ya nchi hatari zaidi kuishi kwa mtu mweusi ni south africa somalia yenyewe ina afadhali wenyeji wa kule ni wavivu kupindukia yani wao ni kulewa na kufanya starehe tu ile nchi ilitakiwa itawaliwe tena na wazungu ndio huu upumbavu utaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi wanafanya sema wanataka malipo makubwa sana.
 
Wale wavivu ws Kusni wameanza tena ushenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…