Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

Wewe ni mpumbavu wa kwanza maana wa mwisho ana afadhali, wakati Raise akiwa Frederick De Cleck nilikuwa hapo, Mandela anapigiwa kura Niko hapo, Thabo Mbeki anaachiwa Urais na Mandela Niko hapo, nimetoka hapo kwenda Uingereza nimeruka Jan Smarts airport sasa hivi mnaita Oliver Tambo airport.

Tafuta watoto wenzanko wa kuwadanganya kuhusu hao "Primitive wanyama" nawajuwa kuliko ninavyowajuwa Watanzania.

Kama una akili timamu waeleze watu hapa ni kwa nini wazungu wote na watu weupe wote bila kujari ni RAIA au siyo RAIA wapo salama kuliko MTU mweusi mgeni?

Ni kwa nini waafrika wenzenu wanawaita jina la kibaguzi Makwelekwele?

Hao watu ni Primitive napigia mstari.
 
Naona mafresh wanaongea uongo kwa kupata taarifa mbili tatu raia wa SA atajuaje kuwa huyu ana vibali au laa...watu weusi wengi hawana Elimu hii ishu ya ugumu wa maisha kwa Nchi nyingi za Afrika wasauzi wanaamini wageni ndio wanachangia huyo fresh anasema ilegal Wasauzi mgeni yeyote wanamwita kwerekwere ili kujitenga nae SA sio salama kwa wageni uwe kiharali au laa wana ubaguzi wa ajabu sana...
 
Wengi wameingia jana na kutaka kuleta story za uongo ukiwauliza mnajua habari za Guguletu,khayelitsha huko au kule kwa warangi rangi wanakupa story za jumla eti Jozii tuu.muda mwingine inabidi tuwe tunawasoma na uongo wao tuu...
 
hayo matukio yangekua yanafanywa na waarabu au wazungu kwa watu weusi Dunia ingesimama, wazee wa Black Live Matter wangepamba moto, lakini as long as yanafanywa na mtu mweusi mwenzetu Its cool.
Waafrika Ni nyani waliochangamka tu.
 
Maisha ni mzunguko huko south mnapofuata fursa kuna wasouth wanaona Hamna fursa wanakwenda nchi nyingine

Uwanja unautengeneza mwenyewe ukisubiri kuwekewa utakufa maskini
Nchi ambayo wanaidafi ndogo sana ya kutoka au hawatokagi kwao ni hawa jamaa
 
Hameni Tanzanika kuna tozo zhamieni Afrika Kusini maisha ni rahisi mno huko.
 
Nchi ambayo wanaidafi ndogo sana ya kutoka au hawatokagi kwao ni hawa jamaa
Nchi ambayo passport anaomba na kupata kirahisi hata akiamua kuombea Bank anapata na wao kwenda Nchi nyingi mambo ya Visa hawasumbuliwi mnaongea hivyo Wasauzi wengi wenye Exposure wapo nje mpaka Tanzania huko wanapiga pesa...
 
Wengi wameingia jana na kutaka kuleta story za uongo ukiwauliza mnajua habari za Guguletu,khayelitsha huko au kule kwa warangi rangi wanakupa story za jumla eti Jozii tuu.muda mwingine inabidi tuwe tunawasoma na uongo wao tuu...
Umesahau location ya Langa mkuu, pale Woodstock home finder nilikuwa miongoni mwa wabongo wa kwanza kufunguwa milango watu kuishi town badala ya kukaa location na maprimitive, treni mwisho saa 12 jioni na tax mwisho Saa moja usiku.

Those good days gari moja mnaweza kuinunuwa watu wawili au watatu mkaimiliki kwa pamoja kuwasaidia misele, nimemkumbuka Mwajeki ndio miaka wameshika ela ya nyeupe C3.
 
wee jamaa unaishia south kweli au mjinga mmoja upo simiyu uko??? unajua ni wageni wangapi huwa wanauliwa south sababu ya vurugu za xenophobia hata kama wana vibali maalumu za kuishi?? hivi mtu anaweza anzisha biashara kubwa kama maduka alafu hana permit halali ya kuishi south??? acha kuwatetea wale wapuuzi wanachofanya wasidhani huku nchi zetu hakuna wasouth this time na wao wataonja joto ya jiweee
 
Nchi ambayo passport anaomba na kupata kirahisi hata akiamua kuombea Bank anapata na wao kwenda Nchi nyingi mambo ya Visa hawasumbuliwi mnaongea hivyo Wasauzi wengi wenye Exposure wapo nje mpaka Tanzania huko wanapiga pesa...
Uingereza pale Slough ni sehemu wanaishi Wasouth Africa wengi sana.
Vijana wengi wanaojitambuwa ambao wako under age wanatumia sana working holiday viza, ukitengeza pound za kutosha ukirudi South Africa ukibadirisha kuwa Rand hukamatiki, na ndio siri ya Wanigeria kuwa raia wa kigeni wanaoheshimika South Africa wengi wamekwenda pale wanatoka mamtoni wana cash, ukichange kuwa Rand ndio unakuta Mnigeria ana jeuri ya kukodi apartment Sea point au Camps bay na anakaa peke yake na mtaani anakokota Audi new model na pembeni ana pisi Kali ya kirangirangi, hawa hizi oparesheni dundula wanaziona kwenye TV tu.
 
Wahuni wanachoma Mall na vitu vingine vya wageni mtu leo anakuja kuongea kana kwamba wengine hawaoni..pana Mnigeria walimchomea gari karibu 16 kwenye yard anayouza huko Jeppe Town ila hawa wanaoangalia duduza online wanataka kutoa habari za kupotosha..
 
Yap nakukumbuka mimi tulionana mara moja pale kwenye mjengo wako uliomwachia Chaa west woodstoke ulihamia sijui Rose bank muda mrefu sana pana rafiki yake Chaa akikua na roho mbaya balaa nae alikuja UK sijui aliishia wapi..enzi hizo Wasauzi wakimuona mgeni wanaweza kumtupa hata nje ya treni huku likiwa linatembea pana case moja iliniuzunisha jamaa alipanda juu ya treni akafa kwa kugusa umeme wa treni akikimbia asipigwe visu na wakhosa miaka hiyo leo hii anatokea mtu anakwambia mambo ya vibali ..
 
Ila sisi watu maskini tunayumba sana baada ya kutofanya kazi tunaona Mwafrika mwenzetu ndio anatukwamisha na unaacha wahindi na wazungu wanaiba nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…