ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,040
- 7,303
Wapo watoto wengine wanazaliwa na kufa mkuuKama mimba zinaharibika kwa wanawake tofautitofauti, kuna uwezekano una tatizo kwenye vinadaba. Kwahiyo, unahitaji kufanyiwa genetic tests. Pia ujauzito ukiharibika inabidi sample ipelekwe kwa vipimo vya cytogenetics.
Haina uhusiano kabisa na kundi la damu.
Dah..!Kwaiyo na sperms unazotoa zina bawasili
Ni swala hilohilo. Genetic testing ni muhimu katika hali kama hiyo.Wapo watoto wengine wanazaliwa na kufa mkuu
Mi nilivoona ni bawasiri.Sio bawasiri chief ni likango,kwa ambao imewakuta wanaelewa zaidi
Alikuambia tiba yake ni nini?Baada ya tukio hilo ikabidi kutafuta wazee kuwaomba ushauri.Kuna sehemu huku mkoani nikapelekwa kwa mama mmoja akaniangalia akasema nina likango kwa jina maarufu.
Anza tibaNdio mkuu nipo 0 positiv
Linakatwa kwa kuchanja damu itoke then unapakwa dawa hadi itakapopotea
Basi ngoja nikae pembeniHuyo sio daktari wa wanawake?? Jamaa ni mwanaume, anaamini mambo ya kishirikina kuwa mimba za wanawake wake zinatoka kwasababu yeye anahiyo ishu. Jambo ambalo hata bila utaalamu ni wazi kuwa halina ukweli.
Sawa mkuu nimekuelewa sana πYani hapa ni kama mbuzi kajileta kwa wauza supu,utapigwa Hele mpaka ufe.
Scientifically sioni mahusiano ya wewe kuwa na hicho unachosema kama bawasiri na mimba za wanawake zako.
Uliposema ulienda kutafuta tiba kwa mganga wa kienyeji ndio nimegundua wewe ni mjinga na mpuuzi.(vumilia hayo maneno )
Sasa nakupa ushauri mujarabu,usisikilize wahuni wowote humus wa tiba mbadala,sijui lishe,maombi,Uganda nk.
Nenda hospitali eleza shida yako wafanye vipimo sahihi baina yako na mwenzi wako.
Kuna Rafiki yangu ana bawasiri na ana watoto 5 watoto wame fanana na baba yao. Alipata bawasiri alipopata mtoto wa pili.Doctor tujibu kwanza.
Ni kweli kwamba Bawasiri awe nayo Mwanaume ikatoe Mimba Kwa Mwanamke!?