Nimeshaanzisha kampuni yangu, nataka niwe napata tender za serikali nifanyeje?

Nataka tender tu mkuu, hayo ya kupanuka hapana aisee

Ushindwe haraka sana
 
Tenda kama zipi yaani? Tolea mfano mmoja ili nielewe

Hawa ndio wanakusanya wale vibikizee wanawaweka barabarani wawe wanafagia.
Wanachokifanya wale wazee ni kuhakikisha wanasababisha maximum chaos.
Wanaziba magari yasipite kama vile wanajua wanachofanya.
Kumbe wanasogeza mchanga pembeni ili kesho warudi kufagia tena
 
Yaani mkuu ninavyochukia wale jamaa wanavyotawanya vumbi yaani we acha tu, ule ni usumbufu mkubwa sana kwa jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…