Reciprocal
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 329
- 523
SWALI: Je, Kuna muislamu yeyote anayekubali kuwa anaweza kuingia PEPONI bila kumkiri mtume Muhammad?, Kama yupo huyo hamwabudu MUHAMMAD.Waislam hawamuabudu Wala kumuomba Muhammad
Kama hayupo, basi wote wanamwabudu mtume MUHAMMAD..
- Kitendo Cha kuona kuwa wewe huna uzima wa milele bila mtume MUHAMMAD, wewe tayari umemwabudu mtume MUHAMMAD ( Inamaana kuwa, maisha yako hayana maana yoyote kama hukumkiri mtume MUHAMMAD. Kufanya hivyo tayari ni kuabudu).
NB:
Maisha ya binadamu ya Duniani na Peponi yanamtegemea MUNGU peke yake.
Muislamu yeyote lazima ampende mtume MUHAMMAD, amwamini mtume MUHAMMAD na amtumaini mtume MUHAMMAD ( kwa sifa hizi tayari, mtume MUHAMMAD ameabudiwa).