Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Waislam hawamuabudu Wala kumuomba Muhammad
SWALI: Je, Kuna muislamu yeyote anayekubali kuwa anaweza kuingia PEPONI bila kumkiri mtume Muhammad?, Kama yupo huyo hamwabudu MUHAMMAD.
Kama hayupo, basi wote wanamwabudu mtume MUHAMMAD..

- Kitendo Cha kuona kuwa wewe huna uzima wa milele bila mtume MUHAMMAD, wewe tayari umemwabudu mtume MUHAMMAD ( Inamaana kuwa, maisha yako hayana maana yoyote kama hukumkiri mtume MUHAMMAD. Kufanya hivyo tayari ni kuabudu).

NB:
Maisha ya binadamu ya Duniani na Peponi yanamtegemea MUNGU peke yake.
Muislamu yeyote lazima ampende mtume MUHAMMAD, amwamini mtume MUHAMMAD na amtumaini mtume MUHAMMAD ( kwa sifa hizi tayari, mtume MUHAMMAD ameabudiwa).
 
Unajua ibada ni nini!?..na hivyo kuabudu ni nini!?
 
Mawazo mgando
 
Uprofesa hauondoi ujinga au upumbavu wa mtu. Wapo wengi wana sijda utadhani wanga. Hata hivyo, tuwaache. Imani ni suala la mtu binafsi. Mbona kuna maprof washoga huko Ulaya ukiachia mbali wezi na wazinzi na wenye mitima nyongo kwa wanafunzi wao? Hebu mfanyie tadhimini prof Kabundi aliyetolewa kwenye jalala
 
Wewe unamjua Mungu wa kweli?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usipokuwa chini ya ulinzi wa bikira Maria inakuaje??
 
Kipofu anapomcheka kipofu mwenzake, pole sana ndugu yangu
 
Mimi sipendi kubishana kuhusu imani ndugu yangu...ndo maana nasema utuache tuu...umeshasema alitumika kuutengeneza mwili kama bado hauoni umuhimu wake tuache sisi tunaoona umuhimu wake tumwombe atusaidie kutufikishia maombi yetu...

Am out..
Kwa nini Mungu anahitaji watu wa katikati kumfikishia maombi?
 
Hujui biblia, hujui hata historia yake bali umekaririshwa uongo na mtume na nabii wako fake.
 
Nilitegemea labda utaleta maandiko ya kibiblia lakini naona umeishia kuweka msimamo wa kidini.

Mimi nilichofanya ni kushangaa tu kwasababu nimeona ni jambo la ajabu na halipo kwenye maandiko.

Naheshimu imani yako, fainali siku ya mauti.
Kati ya kanisa na maandiko (NT) kipi kilitangulia kuwepo?
 

Imani na uelewa binafsi havihusiani na circular education, huo tunauita ujuaji.
 
Hakuna kinachoeleweka hapo, ni kijizonga zonga tu.
 
Vipi umeshakamilisha imani yako na Mungu wako hadi ukahamia ya wengine?
 


Kwani Profesa ni nani??--- si mtu tu kama wewe!!, yeye kuandika academic papers kuna mahusiano gani na Biblia au imani yake??!!, Ungekuwa na hoja kama hizo Papers alizoandika zingehusu Theology su Biblia hapo sawa.

Ila Yesu Kristo Kamwe sio MUNGU,
 
Mimi nakushangaa wewe ambaye unaamini hayo maswala ya mungu kweli safari tunayo
 
Kuhangaika na Imani ya mtu mwingine inasaidia nini hata huwa sielewi kabisa niliacha kuswali msikiti wa Mwembachai na ndio maeneo niliyokua napatikana nilikua nafata misikiti mingine iliyo karibu kipindi cha Mzee Ruksa wao ilikua kila wakiamka ni Yesu ni Mungu sio Mungu mara wanaandaa mihadhara mara analetwa mtu na Biblia anasoma vifungu hapo aisee nikasema hawa Maustaadhi wangu wanatengeneza chuki baina yetu walipewa taarifa kwa barua kuwa waache hizo mambo wakagoma wakiamini Rais ni wetu aisee wakatangaza maandamano walishushwa vijana hapo balaa lake hawaji kurudia tena wewe ukiwa na Imani yako hiyo ingine inakuhusu nini mbona dini zipo nyingi kwa nini tuhangaike na hawa tuu kwa maslahi yep zaidi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…