Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

hao si ndo wanaambiwa Yesu alizaliwa zizini ( kwenye zizi la ng'ombe)
huo ni uongo wa wazi
 
Acha kutulisha matango pori. Kuna uwezekano baadhi ya watakatifu wapo mbinguni lakini si wote

1 Thesolonike 4:16-18​

Kwa sababu Bwana mwenyewe atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko, na sauti ya malaika mkuu, na parapanda ya Mungu; nao waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai, tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu, ili tumlaki Bwana hewani; na hivyo tutakuwa pamoja na Bwana milele. Basi, farijianeni kwa maneno hayo.
 
Duh! Sawa umeshinda.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Nimemaliza kusoma hii commenn imenipa na morali ya kwenda kusali Rozari.Ngoja kwanza niende pale St.Joseph kwa Bikira Maria nikasali Rozari yangu ya Matendo ya Furaha
 
Kila mtu aamini anachokiamini
Tuache tunao amini katika rozari
 
Amina na hiki ulichokisema kitabaki kuwa hivi siku zote.Nimalizie kwa kusema "Bikira Maria msaada wa daima,Utuombee[emoji120]"
 
Amina na hiki ulichokisema kitabaki kuwa hivi siku zote.Nimalizie kwa kusema "Bikira Maria msaada wa daima,Utuombee[emoji120]"
kazi za Roho mtakatifu zitakuwa nini sasa kama bikra Maria atafanya kazi ya kutuombea.
Si alikufa au yupo hai
Mfu anatuombeaje wazima
 
kazi za Roho mtakatifu zitakuwa nini sasa kama bikra Maria atafanya kazi ya kutuombea.
Si alikufa au yupo hai
Mfu anatuombeaje wazima
Kila mtu abaki na Imani yake.Wewe amini unachoamini uko sahihi, na mimi niache niendelee kuamini ninachoamini nipo sahihi pia.
 
Kila mtu abaki na Imani yake.Wewe amini unachoamini uko sahihi, na mimi niache niendelee kuamini ninachoamini nipo sahihi pia.
sikuelewi ,kila mtu ataaminije anachotaka sasa. unatetea uongo uliolishwa na viongozi wako wa dini
Imani ipo moja tu kwani Mungu ni mmoja pia. tusaidiane kuitafuta imani ya kweli, na siyo kila mmoja kubaki na imani yake. unawaza kitoto sana mkuu

Waefeso 4:5​

Kuna Bwana mmoja, imani moja na ubatizo mmoja
 
Bikira Maria msaada wa daima,utuombee [emoji120]
 
baki na imani yako usiingilie imani ya mwingine ili nae asiingilie imani yako mkaanza kupopoana mawe!
 
Mleta mada ni mwanamke mdangaji aliyesahau kumeza P2 kuzuia mimba baada ya lile tendo la ndoa bila ndoa. Ifike mahala tuache kunyoosheana vidole kwa imani zetu.

Ninyi mnaojifanya wajuaji mmewazidi nini wachina, waarabu, wahindi au wajapan wanaoabudu miungu yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…