Nimeshangaa kumuona Profesa mmoja maarufu wa pale UDSM akisali sala ya Bikira Maria

Pole Sana 😂😂😂😂 ndio hivyo fikiria watu wa karibu na Muhammad wanasema kaiba chupi kutoka kwenye ngawira,

Allah badala aseme nani kaiba yeye anasema Muhammad hajaiba ma kuwachamba waliosema
Qur'an 8:41
Know that one fifth of the spoils that you earn belongs to Allah,to the messenger,to the near of kin,to the orphans,and the needy,and wayfarer
Na kumbukeni moja ya tano ya ngawira mpatazo ni kwa ajili ya Allah,mtume,ndugu wa karibu,mayatima,wahitaji and wasafiri
Halafu aibe wakati ana fungu lake!!..wewe ni mbuzi
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Kwanj Hujui kwamba Yesu ni Mungu? Maria Yule kapata kibali Cha Mungu anamkono wa Mungu juu yake Hakuwa kosa Yule . Usahihi wa kusali hauna Maana Kama bado unamaisha ya kihunihuni
 
kiufupi mme changanyikiwa.hamueleweki🤣🤣🤣 Kuna jinga linaitwa mokiti ndio mfano wawatu wote mlivyo.
Unajua Allah aliweka wazi codes zake za kufufua msome na kuanzia Leo usile nyama ya ng'ombe 😂😂

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
Kama mtu alikufa na Allah akatoa codes zake za kufufua kwa kupiga na pande la nyama ya ng'ombe 😂😂😂

Alishindwa Nini kumtaja Alie iba chupi kama so Muhammad?

Kwa Musa alipiga na nyama mbichi ya ng'ombe kama wa Hindu

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
Ndiyo nini!!!??..umevurugwa akili,unajua unachoandika!??..Kuna mawasiliano baina ya mikono na ubongo wako!?
 
Wewe ndio akili haifanyi kazi

Kama Allah aliweza kufufua mtu ili aseme nani kumuua , kwenye uizi wa chupi alishwandwaje kutaja
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.

Umeshangaa nini? "Salamu Maria.." Hayo ni maandiko toka kwenye biblia kama yalivyo maandiko mengine tunayosoma na kusimama nayo

LUKA 1: 26 -38
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
 
Unajua Allah aliweka wazi codes zake za kufufua msome na kuanzia Leo usile nyama ya ng'ombe 😂😂

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
kuropoka nikawaidatu yenu.yani unaropoka halafu unacheka
 
Unasema Koran verse ni uropokaji , embu kuwa makini

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
 
Umeshangaa nini? "Salamu Maria.." Hayo ni maandiko toka kwenye biblia kama yalivyo maandiko mengine tunayosoma na kusimama nayo

LUKA 1: 26 -38
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
Maria hakuwahi wala hatawahi kuwa mama wa Mungu , maria alizaa human flesh ambayo ilitumiwa na mungu mwana Yesu
 
Unasema Koran verse ni uropokaji , embu kuwa makini

Koran 2:73. Tukasema: Mpigeni kwa kipande chake (huyo ng'ombe). Ndivyo hivi Allah huwahuisha wafu;
kwahio hapo ulitafsiri kua tusile ngombe?jibu wee pumbi.🤣
 
Umeshangaa nini? "Salamu Maria.." Hayo ni maandiko toka kwenye biblia kama yalivyo maandiko mengine tunayosoma na kusimama nayo

LUKA 1: 26 -38
Mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti, kwa mwanamwali bikira aliyekuwa ameposwa na mtu, jina lake Yusufu, wa mbari ya Daudi; na jina lake bikira huyo ni Mariamu.
Akaingia nyumbani kwake akasema, Salamu, uliyepewa neema, Bwana yu pamoja nawe.
Naye akafadhaika sana kwa ajili ya maneno yake, akawaza moyoni, Salamu hii ni ya namna gani?
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.
Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu.
Kwahiyo na nyie mnamsalimia maria? Maria yupo dunia nzima kwa wakati mmoja akiwasikiliza?
 
Moja kati ya mambo ambayo yapo wazi kabisa katika biblia ni maelekezo ya namna maombi yanatakiwa kufanywa. Agizo la maombi lipo very open.

Yesu Kristo alisema mara nyingi sana kwenye injili ya Yohana kwamba tuombe kwa jina lake. Mtume Paulo ameandika tufanye yote katika jina la Yesu Kristo.

Sasa profesa ambaye ameandika paper kibao na amefanya literature review za kutosha ameshindwa kusoma biblia kufahamu tunapaswa kuomba kwa jina gani?

Hakuna sehemu hata moja mitume waliomba kwa jina la Maria. Yule Maria mama wa Yesu alikaa pamoja na mitume na walijazwa Roho Mtakatifu pamoja na wakanena kwa lugha.

Maria alimzaa Yesu lakini hakumzaa Mungu. Kuna tofauti kati ya Yesu na Kristo. Maria sio mama wa Mungu bali ni mama yake Yesu. Yesu ni mwanadamu na Kristo ni Mwana wa Mungu.

Hivyo Yesu Kristo ni Mungu na mwanadamu kwa wakati mmoja. Asomaye na afahamu.
Imani! Haina mgumbalu wala propesa
 
Basi ungeendelea tu na imani yako ya kuombewa na mchungaji kutoka Mbeya
Bora hao wanaoombewa na walio hai huku duniani. Abraham alimwambia yule tajiri kwamba Lazaro hatatumwa duniani bali wawasikilize waliopo duniani.

Kifupi maombi ya wafu yanakataliwa na yanatupiliwa mbali.
 
Wewe unauthubutu gani wa kula nyenzo ya muhimu anayotumia Allah kukufulia ?
kuwa najibu Basi lililo nyooka.mbona unaruka ruka?hio aya ndio tafsiri yake hio?kwamba tusile nyama yang'ombe?
 
Back
Top Bottom