Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Na Abdur Rahmaan ni majina mangapi? Eleweni maana kwanza.Tungeandika Zabronhamis, hili ni jina moja. Tukiandika Zabron hamis (kwa kanuni za uandishi wa majina) ni jina moja. Lakini Zabron Hamis, ni majina mawili tofauti. Aatiyahallah (kama ilivyo kwa kina Abdallah) ni jina moja. Lakini Aatiyah Allah, ni majina mawili tofauti nikimaanisha kila jina linajitegemea.
Hakuna Muislam anaitwa Allah. Kwa sababu ni Haramu kwa mtu kuitwa hivyo. Hilo jina la huyo mchezaji ni jina moja. Jamani someni au hata muulize basi.Lazima kuna tatizo, ndo maana tujawahi kusikia Mtanzania anaitwa Allah katika mamilioni ya Waislam nchi hii. Muhammad wapo, Issa, Mariam, Khadija. Allah, never.
Sema hapa tumekwama, hatuwezi kumkosoa Mwarabu mwenye dini yake.
Hilo jina jesus ni kwa mujibu wa kireno na sio kiingerezaView attachment 2245102
Huyu ni mchezaji wa manchester city yeye anaitwa jesus nae ulimshangaa au kawaida tu?
Pole sana mkuu, uliumizwa sana na kifo cha Debora eeh?Waarabu wa bongo wamekua wapoleeee daah sasa huyo jamaa angekua bongo au nijeria wangemlazimisha abadili jina la sivyo mawe na kiberiti vingemhusu
Usiwe mbishi hilo wameandika wazungu lkn lina asili ya kiarabu ,jaribu kujua waarabu wenyewe wanaliandikaje, achana na Google au ,angalia jina rasmi katika usajili wa timu yake ya moroko shekh,Wazungu wamekosea kuliandikaTungeandika Zabronhamis, hili ni jina moja. Tukiandika Zabron hamis (kwa kanuni za uandishi wa majina) ni jina moja. Lakini Zabron Hamis, ni majina mawili tofauti. Aatiyahallah (kama ilivyo kwa kina Abdallah) ni jina moja. Lakini Aatiyah Allah, ni majina mawili tofauti nikimaanisha kila jina linajitegemea.
ni wewe je hii ni fekero Id yako?Labda hujaupitia uzi vizuri, umekurupuka.
Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?
Hilo jina linaanzia hapo kwenye "Attiyat "wengine huliandika au kulitamka "Attiyah". Neno hilo linamaanisha zawadi (yenye thamani)> Atiiyat- Allah ni zawadi kutoka kwa Allah.
Hakuna kipya hapo ila ni "exposure" finyu tu ya mleta mada.
Na wewe sasa unaendeleza na kuutangaza ufinyu wako wa uelewa.
Soma hii mada; Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
Pole sana mkuu, uliumizwa sana na kifo cha Debora eeh?
Jina la huyo jamaa halina shida katika Uislam. Kwa hiyo siyo ajabu.
Hawa waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?Attiyat Allah ni Jina moja. Hilo ni jina la Kiarabu lililotafsiriwa kiingereza.
Hawa waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?Hahahahahah unashangaza na kuchekesha wakati huo huo? Hivi Tanzania hii unawafahamu akina Abd"Allah" wangapi"?
Hilo jina linaanzia hapo kwenye "Attiyat "wengine huliandika au kulitamka "Attiyah". Neno hilo linamaanisha zawadi (yenye thamani)> Atiiyat- Allah ni zawadi kutoka kwa Allah.
Hakuna kipya hapo ila ni "exposure" finyu tu ya mleta mada.
Lete mada hiyo halafu utajibiwa huko.View attachment 2245102
Huyu ni mchezaji wa manchester city yeye anaitwa jesus nae ulimshangaa au kawaida tu?
Waarabu hawajui hili mpaka waandike Allah kwenye jezi?Naam, ni kama ‘Abdur Rahmaan ni jina moja likimaanisha Mja wa Mwingi wa Rahma
Mimi nimeona jezi mwarabu anaitwa Allah. Mbona wao hawakuyaunganisha?Hakuna Muislam anaitwa Allah. Kwa sababu ni Haramu kwa mtu kuitwa hivyo. Hilo jina la huyo mchezaji ni jina moja. Jamani someni au hata muulize basi.
Wewe umeona kwenye jezi walivyoandika? Mimi nimeshangaa, Ina maana wewe unafahamu zaidi ya waarabu?Jina hilo wengi tu wanaitwa ila haliandikwi hivyo wanaitwa Allaa sio Alllah kiarabu herufu moja tu na maana inabadilika ni ile hali ya kulitamka lile jina. Wengi tu wanaitwa Allaa
Ile jezi ya mchezaji imeandikwa jina moja Allah ni google pale?Usiwe mbishi hilo wameandika wazungu lkn lina asili ya kiarabu ,jaribu kujua waarabu wenyewe wanaliandikaje, achana na Google au ,angalia jina rasmi katika usajili wa timu yake ya moroko shekh,Wazungu wamekosea kuliandika
Mnataka kuacha jina la mchezaji mpiganie jina langu?🤣🤣🤣Nimeangalia jina la mleta mada ni championship ila mkurupukaji
Ufinyu wa akili unakusumbua meza wembe. Jamaa anaitwa allah mungu wenu huyo
ni wewe je hii ni fekero Id yako?
Yes,Attiya Allah ndie anaecheza kambumbuAllah huyu huyu tunayemsikia sasa tunamwona akicheza kabumbu.
Waarabu wameandika jina kwenye jezi Allah, sio hilo unalotaja wewe.Yes,Attiya Allah ndie anaecheza kambumbu
kama vile Hizzbu Allah wanavyolichanganya jeshi la Israel..
Abdu Allah anavyo fanya mambo yake pale sehemu