Nimeshangaa sana kuona mchezaji wa Wydad Casablanca anaitwa Allah

Wewe kwenye profile uko uchi kwa mujibu wa dini. Unatakiwa upigwe mawe hadi kufa. Huna hadhi ya kujibia uislamu.
Ila wewe una haq ya kujibia uislamu!?

Naona hata hizo haq na wajibu katika usilam pia huzijui
 
Wewe umeona kwenye jezi walivyoandika? Mimi nimeshangaa, Ina maana wewe unafahamu zaidi ya waarabu?
Nimesoma Quraan najuwa nacho ongea kuandikwa kiarabu ngumu kuandika kizungu maana tofauti
 
Issue ni kwamba jina Ni la Kiarabu limeandikaa Kingereza. Hio tafsiri ndio inaleta mkamganyiko

Na pia Inawezekana ikawa jina Moja kuwa na nafasi mfano Aliekuwa waziri wa mambo Ya nje jina lake ni Asha-Rose Migiro na sio Asharose.
 
Mkuu japo umetoa maelekezo marefu lakini mleta mada kasema jamaa anaitwa Allah bila kuweka jina jingine mbele yake kama unavyotolea mfano. Ndo mantiki ya post yangu.

Jina ni zuri halina ubaya wowote
 
Nimewaelewa ndgu FaizaFoxy na wadau wengine waliochangia.

Ila tu mpunguze kuwajibu vibaya waulizao, ila majibu yenu yanaeleweka labda tu wakaze ubungo.

Tuulizao tusiulize kwa dhihaka kama twataka kujua kweli.
 
Mbona hujaweka picha ya jezi umeweka picha Google?weka jezi hapa
Ingia YouTube uangalie marudio, sina muda sasa hivi.

Nilipoona jina kwenye jezi ndio nikaingia google kujua jina lake kamili.
 
Lazima kuna tatizo, ndo maana tujawahi kusikia Mtanzania anaitwa Allah katika mamilioni ya Waislam nchi hii. Muhammad wapo, Issa, Mariam, Khadija. Allah, never.

Sema hapa tumekwama, hatuwezi kumkosoa Mwarabu mwenye dini yake.
Kwani hayo majina ya Kiislam au ya Kiarabu?
 
Itakuwaje huyo mchezaji akiwa mbakaji? Watu watasema Allah Kabaka.
Ile meli ilichukua watumwa kwanza Afrika kuwapeleka Ameika ikiitwaje vile? Sasa huyo mwenye hilo jina ndio kabeba watumwa?

Hapo sasa.
 
Hapa umeeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…