Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

Mbona Mkapa hajakumbukwa
 
Mungu mbariki Bashungwa
Ndugai,Gwajima,Bashiru Ally,Makonda,,Nape Nnauye aliyeenda kuomba msamaha na mijasho kibao, Wabunge waliongizwa kwa mchakachuo kibao,waliobebwa teuzi akina Mtaka ambao hata vetting ziligoma nk bila sifa za uongozi na kupewa post kibao,wapinzani waliobebwa na magufuli kupewa vyeo wakuwemo akina Dr Slaa ,nk wameingia mitini utafikiri walikuwa hawamjui.hata jina Magufuli ni nani walivyo wanafiki wakubwa List ndefu anyway itatumika mbele ya safari

Kisa wanaangalia matumbo yao tu na fursa
 
Tenda wema uede zako.

Hilo genge ndio lilikuwa linamshauri vibaua Rais Wetu JPM
 
Umeongea kwa maskitiko sana.

Jpm watu hawakumpenda bali walimwogopa.

Nadhani sasa mmeelewa
 
Pichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…