Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

Watu hawana shukrani. Mtu kama.Mwana FA hawezi shida uchaguzi wa aina yoyote bila Nguvu ya JPM
Kabisa, Mzee akadiriki kumuweka pembeni DCI wa zamani akamuweka yeye from no where mpaka sasa Waziri
 
Hata wasanii akina Dai na Mtwara wamesusa??

Ndio maana tunasema ukiwa Kiongozi fanya kwa mujibu wa sheria na kanuni usitake kuwafurahisha watu😅😅
Wabunge wa chato wamebaki wakiwa, nguzo muhimu imeanguka. Nilikuwepo wengi wao hawana furaha, 2025 hawatorudi.

Bitteko mjanja keshaaga kundi kijanja 😀
 
😅😅😅
Haya maisha ishi kinafiki utafanikiwa mno, ukishupaza shingo utaumia. Hayari JPM alikuwa ana nguvu pindi yupo hai ila sasa ashakuwa mifupa hivyo ni kuwa mpole na kuendeleza mazuri yake kwa uongozi wa Mama Dkt. Samiah Suluhu Hassan.

All in All ni mwiko kwa mwanamme kususa, hata Hayati atafurahi mno kuona vijana aliowajenga kisiasa wakimuunga mkono Mama Samiah 🇹🇿
 
JPM alizungukwa na wanafiki. Baada ya kifo chake wengi wamegeuka. Lemtuz alikuwa akimuita Makonda Field marshall ila baada ya JPM kuondoka akadai Makonda alikuwa akifanya makosa na kumchana sana. Uchaguzi wa 2020 uliacha makovu kuanzia ndani ya chama hadi nje... kuna watu wako bungeni kwa kubebwa ila kwa sasa hawawezi jitokeza kwasababu roho zinawasuta na huenda wanaogopa.
 
Hivi kabudo mnamwona yuko sawasawa mzee yule mwenyewe alijiiita takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…