Nimeshangazwa kutowaona wakina Kabudi, Makonda, Hapi Bashiru na wengine huko Chato. Hongera Waziri Bashungwa

Huenda wanatetea vibarua na wanataka kuishi kwa amani maana walivyosakamwa baada ya Jiwe kupumzika, sio mchezo!

Ila heshima ya kipekee kwa Bashungwa! Najua kajifunza mengi mazuri na kakemea mengi mabaya ila heshima ipo pale pale.
 
Ongeza pia na akina Meja Jenerali Charles Mbuge, Brigedia Jenerali Marco Gaguti, Mambosasa, Musiba, Katambi,
 
VIPI WABUNGE walioteuliwa na Magufuli badala ya KUPIGIWA KURA na Wananchi?
VIPI COVID 19 waliozawadia UBUNGE wa VITI MAALUMU na MAGUFULI?
Vipi waliounga JUHUDI MKONO na KIPEWA Vyeo kina Nassari Katambi MASHINGI Mkumbo ?
 
Ndio wanaingia kwenye kundi la 'na wengine'
 
SIoni kama ni kweli ni vile kijana hana uungwana, huyu hakutakiwa kuklsa kabisa maana ilifikia kuitwa 'Naibu Rais' , sidhani kama wanaotaka kumshtaki kama ndivyo anaogopa hawajui yuko wapi
Nadhani Bashite kaamua ku keep low profile ili watu wamsahau yasije mkuta ya Sabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…