Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

Maccm yanajidai yameumia utadhani huyo mama yenu ni rais wa TLP! Mvune mlichopanda naye ni sehemu ya matokeo ya upuuzi wenu wa October mwaka jana
 
Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
SENCE ni kitu gani? Kwa kosa hili mara mbili kwenye sentensi mbili, nahisi wewe huna SENSE!
 
Raisi kipusa huyo
 
Wasukuma bwana kwa hiyo tununue sukari bei juu kisa kulinda viwanda vya makaburu wa ILOVO
 
Tena ameongea kwa mkogo kweli hilo neno - nonsense!! Nimesononeshwa sana na kauli hii
 

CCM haina uwezo wa kumsimamia au kumwelekeza mwenyekiti wa chama hicho ambaye ndiye Rais wa JMT na mamlaka kuu ya serikali kwa mambo asiyokuwa tayari kufanya. She has absolute power. - as desired by CCM.
 
Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!
Hivi Ni ulevi was madaraka au vipi , nchi hi Bado tunachagua viongozi nusu miungu,wanaakili Sana kushinda watu wote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nonsense kabisa hadharani!!!!!!!!!!!!
 
Alisema yeye na yule ni kitu kimoja. Usitegemee hivyo unavyovitarajia sijui utawala bora.
 
Waziri amesema anazuia uagizaji kama hakuna upungufu ili kulinda viwanda vyetu na soko la mazao (km kilimo, mifugo na uvuvi). Lakini Rais kamdharilisha kinyume na Ilani ya CCM, 2020 iliyokiingiza madarakani.
Si tu kamdhalilisha Prof Mkenda, kaudhalilisha hata urais wenyewe.
 
Hana ADABU WAZAZI WAKE HAWAKUMFUNDA VYEMA IMETODHA KUSEMA Serikari mbwa koko
 
Waziri hana mamlaka ya kuweka sera kama yake waziri anatekeleza yanayoamuliwa na baraza la mawaziri au sera ya serikali. sasa ajibu aliambiwa na nani hatununui sukari ya Uganda au ilikuwa uamuzi wake yeye
 

Attachments

  • VID-20211129-WA0030.mp4
    9 MB
CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara

Ehh mkuu Acha uchama chama. Mtanzania kwanza. Wewe huwez kukosa kuwa mkabila na mnafiki. Mana Haiwezekani binadamu kuwa takataka. Ndo mana tupo tulipo. Kuna mazuri na mabaya ya kila mwanadamu.

Hiyo CCM Ina wanachama baba na mama na kaka na dada nk. Unapotoa hoja na comments kuwa reasonable. Hapa unaoneka huna tofauti na mbwam, unatumia hisia kijinga.
 
Si ikitoka nje inapigwa na Ushuru ?, Kama bado pamoja na ushuru bei itakuwa ndogo basi tuendelee kuagiza na viwanda vyetu viende vikajifunze kwamba inawezekane pamoja na ushuru na shipment bado yao gharama iwe chini....

It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy...
 
Sijui kama niliwahi/pata kusoma "an honest opinion" zaidi ya hii kutoka kwako.

Pengine huyu mama yale yanayofundishwa Mzumbe anaona kishavuka ngazi yake ? Sijui nyinyi wenyewe mnayajuwa hayo!

Kuna yule aliyesoma Chemistry hadi kiwango cha "Uvamizi", naye tuliona alipojihisi kwamba yeye ni zaidi ya hapo, alivyotupa mbali elimu hiyo na kuanza kufanya vyake hadi kupima mapapai na oil kama vina corona.

Hizi elimu zetu za hapa nyumbani nadhani ni za kutafutia shibe tu basi, wakati zinapohitajika, lakini katika kuzitumia katika maisha ya kila siku hilo hatuliwezi kabisa.
 
Wawekezaji wa hayo mafuta, wale wanaotoa fedha za mradi ndio waliofanya maamuzi . Uganda anasubiri share yake kwenye mradi tu.
 
Gharama zako za nchi kiuzalishaji mfano umeme, makodi mbalimbali nazo hazichangii kufanya gharama za uzalishaji za viwanda vyetu kuwa juu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…