Chadema yote ni nyumbu afadhali tuendelee kuwa na CCM tu.CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema yote ni nyumbu afadhali tuendelee kuwa na CCM tu.CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
SENCE ni kitu gani? Kwa kosa hili mara mbili kwenye sentensi mbili, nahisi wewe huna SENSE!Kwa hiyo hapa tatizo ni Mkenda kuambiwa Hana SENCE? Ukweli Kati ya mawaziri si Mkenda peke yake ambaye Hana SENCE, wako wengi tu akiwemo wa Fedha, wa Biashara, wa Maliasili, wa Madini na kubwa Lao Afya.
Raisi kipusa huyoNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Wasukuma bwana kwa hiyo tununue sukari bei juu kisa kulinda viwanda vya makaburu wa ILOVOHivi bado kuna uhaba wa sukari mpaka leo? Sijasikia zile kelele muda mrefu.
Rais wetu naona kama amekubali kutumiwa na Museveni nae akatumika, kama Museveni ana sukari nyingi kwake haina soko ameona aje kulitafuta huku na sisi badala ya kujiuliza kama tunaihitaji naona tumekimbilia kukubali ombi tu ili kukuza urafiki na majirani.
Suala la kuita msimamo wa waziri wake Nonsense tena public nalo nalipinga, kama alikerwa na huo msimamo ana kila nafasi ya kuonana na waziri wake na kumweleza aliyonayo, sio kumsubiri Museveni aje ndio anamnanga mbele za watu, hizi ni tabia typical za kike - umbea.
Tena ameongea kwa mkogo kweli hilo neno - nonsense!! Nimesononeshwa sana na kauli hiiNimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Waziri amesema anazuia uagizaji kama hakuna upungufu ili kulinda viwanda vyetu na soko la mazao (km kilimo, mifugo na uvuvi). Lakini Rais kamdharilisha kinyume na Ilani ya CCM, 2020 iliyokiingiza madarakani.
Katika miaka mitano ijayo, CCM itazisimamia Serikali zake ili ziendeleze juhudi za kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa kuendelea kujenga Tanzania ya viwanda na uchumi fungamanishi, jumuishi na shindani unaotumia sayansi na teknolojia za kisasa na ambao unahimili utandawazi na unaoweza kutumia kikamilifu fursa zake kwa kuuza zaidi bidhaa za viwandani na bidhaa nyingine nje ya nchi. CCM inatambua fika kwamba ili kutimiza azma ya kujenga uchumi shindani wa viwanda na huduma, ni lazima kila Mtanzania afanye kazi kwa bidii, kujituma, na kutumia maarifa, hekima na ubunifu (Ilani ya Uchaguzi CCM, 2020, Sura ya Pili)
Hivi Ni ulevi was madaraka au vipi , nchi hi Bado tunachagua viongozi nusu miungu,wanaakili Sana kushinda watu wote!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nonsense kabisa hadharani!!!!!!!!!!!!Kabisa, kuna mengine wangemalizana ofisi, na siyo kuyaleta public!
Alisema yeye na yule ni kitu kimoja. Usitegemee hivyo unavyovitarajia sijui utawala bora.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Si tu kamdhalilisha Prof Mkenda, kaudhalilisha hata urais wenyewe.Waziri amesema anazuia uagizaji kama hakuna upungufu ili kulinda viwanda vyetu na soko la mazao (km kilimo, mifugo na uvuvi). Lakini Rais kamdharilisha kinyume na Ilani ya CCM, 2020 iliyokiingiza madarakani.
Waziri hana mamlaka ya kuweka sera kama yake waziri anatekeleza yanayoamuliwa na baraza la mawaziri au sera ya serikali. sasa ajibu aliambiwa na nani hatununui sukari ya Uganda au ilikuwa uamuzi wake yeye
Aendelee kufungua nasi tutokeMama anafungua nchi
CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
Rudi MirembeCCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
Sijui kama niliwahi/pata kusoma "an honest opinion" zaidi ya hii kutoka kwako.Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani.
Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili.
Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora.
Na hii naanza kuhisi ile power is getting to the head, and power corrupts.
Pili, nimesikiliza arguments za Mkenda, though pompous, kuna relevance pale.
Argument ni kuagiza sukari kama kuna shortage, si kwa matakwa ya wafanyabiashara.
Sasa wale wawekezaji wanaovipanua viwanda ili ku boost uzalishaji wa sukari, wale ni nonsense?
All in all, Mkenda anapaswa kujiuzulu ku-save face.
Huyo ni remote ya msoga. Hana akijuacho zaidi ya mipasho.CCM yote ni takataka hakuna mtu wa maana hata mmoja, bibi ushungi analinda maslahi mapana ya wafanyabiashara
Wawekezaji wa hayo mafuta, wale wanaotoa fedha za mradi ndio waliofanya maamuzi . Uganda anasubiri share yake kwenye mradi tu.Bro ni vizuri pia ujue kuwa Uganda nao wamesucrifice sana kwa kuleta bomba Tanzania, hilo bomba kiuhalisia lilitakiwa lipite Kenya but wao wakalileta kwetu na pia kuna benefits kubwa tunazipata kwa waganda kutumia bandari za Tanzania badala ya za Kenya hivyo na sisi ni lazima tuoneshe mkono wa shukrani
Gharama zako za nchi kiuzalishaji mfano umeme, makodi mbalimbali nazo hazichangii kufanya gharama za uzalishaji za viwanda vyetu kuwa juu!?Si ikitoka nje inapigwa na Ushuru ?, Kama bado pamoja na ushuru bei itakuwa ndogo basi tuendelee kuagiza na viwanda vyetu viende vikajifunze kwamba inawezekane pamoja na ushuru na shipment bado yao gharama iwe chini....
It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy...