Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Ibada iwe kipaumbele kwenu Hasan Kwa wife Na watoto
 
Hivi chanzo kikubwa ni Nini mpaka jamaa akamchinja mkewe?
 
Haifai sweetie trust me
Ni bora kuongea yanayokusibu kuliko kununa,both kwa afya yako ya mwiki,roho,na akili na kwa ndoa yako;
Kama umempata mtu wa kusikiliza its better to talk
Sawa dear 😍
Yani mm napenda sana utani napenda sana kucheka Hadi kuchukia Nachukua muda sana lakin nikichukia πŸ˜€πŸ˜€ Hadi nirudi kuwa sawa sikumbili Tatu zimepita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…