Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

Wakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.

Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi

Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Ibada iwe kipaumbele kwenu Hasan Kwa wife Na watoto
 
Kuwa makini tu na yaliyotokea Igurusi usiku wa kuamkia leo

Hivi chanzo kikubwa ni Nini mpaka jamaa akamchinja mkewe?
 
Haifai sweetie trust me
Ni bora kuongea yanayokusibu kuliko kununa,both kwa afya yako ya mwiki,roho,na akili na kwa ndoa yako;
Kama umempata mtu wa kusikiliza its better to talk
Sawa dear 😍
Yani mm napenda sana utani napenda sana kucheka Hadi kuchukia Nachukua muda sana lakin nikichukia 😀😀 Hadi nirudi kuwa sawa sikumbili Tatu zimepita
 
Back
Top Bottom