Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
- Thread starter
- #141
Sex decoy ndo nnSiku moja moja unampakia mkongo , kumpoteza maboya. (It's a sex decoy)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sex decoy ndo nnSiku moja moja unampakia mkongo , kumpoteza maboya. (It's a sex decoy)
ulivo mmbea sasa😂😂😂Eti AloooAlooo!!
Bwana mDogo! Hukutakiwa kuwa huku Linda ndoa yako kwanzaulivo mmbea sasa😂😂😂Eti Alooo
Ibada iwe kipaumbele kwenu Hasan Kwa wife Na watotoWakuu nilileta uzi hapa wa kuoa, basi sasa kitu ndani ya nyumba.
Sasa ningependa kupata Code kutoka kwa mliooa, vitu vya kufanya na visivyo vya kufanya (Do's and Don'ts) kwa mke. Code zinazotokana na experince ni nzuri zaidi
Hizi ni nzuri ziwe experience ambazo Wakuu wau wanachama mmejifunza kwenye ndoa sio tu ushauri.
Kuna people very smart so intelligent that why I love JFAisee kumbe JF kuna watu wapo serious hivi!
Nondo kali sana za husia zinashushwa hapa!
Ninasoma comments, wadau tujuane!
Hivi chanzo kikubwa ni Nini mpaka jamaa akamchinja mkewe?Kuwa makini tu na yaliyotokea Igurusi usiku wa kuamkia leo
Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili
Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...www.jamiiforums.com
😀😀Mnapenda kutukomoa 😀Siku moja moja unampakia mkongo , kumpoteza maboya. (It's a sex decoy)
Nina katabia ka kununa siku mbili Tatu ni kwamba hakafai huko ndoani 😀😀Usilale na ugomvi hakikisha mmezungunza na kutatua
Haifai sweetie trust meNina katabia ka kununa siku mbili Tatu ni kwamba hakafai huko ndoani 😀😀
Sawa dear 😍Haifai sweetie trust me
Ni bora kuongea yanayokusibu kuliko kununa,both kwa afya yako ya mwiki,roho,na akili na kwa ndoa yako;
Kama umempata mtu wa kusikiliza its better to talk
Azameee akiwqaaa kalewaaMfikishe kileleni ila Usimzamie Chumvini.