Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Umebambikiwa hao watoto?Vitoto vya sasa baba usipo kuwa mkali toka vinaanza kuongea Ni shida na tabia unakuta baba unamkanya mtoto alaf mama anaingilia, vitoto vya hivyo vinakuwa vitukutu wewe acha!
Tukiwaambia mtupatie jero zenu tukae nao tuwatie makwenzi kidogo mnalalamika walimu tuna njaa. Mzazi tulia tu wavunjeee na Januari tunataka adaπ€£π€£π€£Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.
Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Bora warudi shule.
Watoto wamevurugwa kama wazazi wao basi tafraniπ€£π€£π€£
Imagine ye kachoka mmoja wakati sie tunakaa na mamia na wala hawatuchoshi.Mnavyotudharau walimu sasa!?
Huko shule huyo mtoto aliyekuchosha wewe waenda mtupia nani?
Weeeeeeee hapana jamani hapana mi hata 13 naona mbali jamani, wangerudi tarehe mbili nshawamiss sana watoto πΉWatoto wamevurugwa kama wazazi wao basi tafraniπ€£π€£π€£
Muheshimiwa rais ikikupendeza shule zifunguliwe March kabisa.
π€£π€£π€£π€£Weeeeeeee hapana jamani hapana mi hata 13 naona mbali jamani, wangerudi tarehe mbili nshawamiss sana watoto πΉ
We lea si ulizaa mwenyeweπMkuu ata uwanunulie nn ase ndan kuna ps 4 wacheze game hawataki wanachukua biskel wanaeendesha washaitoboa toboa na meetings sumali sijatengeneza nimeacha sasa wameamia kwenye tv na kelele watoto kama hao unawasaidiaje
Kaero tu hadi wanatuitia waandishi imagineπ€£π€£π€£Imagine ye kachoka mmoja wakati sie tunakaa na mamia na wala hawatuchoshi.
Kwahiyo wazazi wawe wanatupoza poza na zile jero jero wasitoe povu πΉ
Nmemiss watoto na wazazi wao πΉπ€£π€£π€£π€£
Mwl hebu kuwa mkweli, umemiss watoto au vya watoto?
Haswa wazazi waoπ€£π€£π€£Nmemiss watoto na wazazi wao πΉ
ππππ kidaka tonge ni nin??π€£ Jana tu nimetoka kusema hili, kuna watoto wa jirani hapa wanakusanya watoto wenzao niambie huo mkutano ni kelele tupu!. mara wapigane mara wacheze kombolela mwengine anaacha kulilia huko anasogea ulipo analia mpk unaona kidaka tonge!.
ukiachama kile kinachoonekana kwenye mdomo kwa juu kimekaa kama kakidole hakohako..πππππ kidaka tonge ni nin??
Muwe mnawaheshimu walimu.Kuna vitu watoto wanahatibu hadi unajiuliza huyu dogo amewezaje kuharibu hiki kitu, na nini alikua anatafuta huku? Ila uwezi pata jibu kamwe.
Kitu kingine cha ajabu hawa watoto wa siku hizi hawachoki, kuanzia asubuhi hadi usiku wapo active tu.
Bora warudi shule.
ππππukiachama kile kinachoonekana kwenye mdomo kwa juu kimekaa kama kakidole hakohako..π