Kama ni kweli huu nao ni aina ya utapeli uchwara, inamaana wanajua hutosoma terms and condition. Janja janja.Kampuni za michezo ya kubahatisha hua zina maximum amount watakayokulipa hua wanaiweka kwenye terms and conditions. Mfano maximum amount ni 15M ukishinda 16M wanarudi kwenye terms and conditions na kukulipa waliyoisema.
Ubaya ni kwamba, hawatokataa betslip uliyoweka ambayo inavuka maximum amount ila ukishashinda ndiyo unapitishwa kwenye terms and conditions.
Ni mechi zilizonumuliwa zikasambaa wewe ukaziweka ,, au kwa kutokujua ukaijumuisha kwenye mkeka wako. Hautalipwa ukishinda. Kama umewahi kuona mechi imefungwa odds au imechezwa lakini ikatolewa kwenye mkeka. Mara nyingi huwa ligi ndogo ndogo na timu ndogo ndogo,, hizo wanapanga matokeoKwan hizo fixed games huwa zikoje,naomba nieleweshwe
Kampuni ndogo ndogo huwezi kulipwa ukishinda hela nyingiKampuni uchwara zinapata nguvu wapi kufanya wanayo fanya hata baada ya kuitwa na gaming board? Ilibidi huyu jamaa awe amelipwa na fidia juu na kampuni kupigwa fine.
Japo katika maelezo haya inaonekana kuna sehem ya story ina miss.
N hajaeleza kwanini asitumie wanasheria wamsaidie swala hili?
Kampuni inatoa sababu gani za msingi za kutolipa?
Mwisho wa siku wakimwona ni mwiba kwao wanaweza kumpoteza.
Ni mawazo yako au umeyachukua mahali mkuu au una ushahidi naoKampuni ndogo ndogo huwezi kulipwa ukishinda hela nyingi
Ushindi ninaoNi mawazo yako au umeyachukua mahali mkuu au una ushahidi nao
Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7.
Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo ilithibitishwa na mfumo, ambapo nilipatiwa betslip pamoja na ujumbe wa mkataba. Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo, jambo ambalo ninaamini ni kinyume na General Terms and Conditions zao wenyewe pamoja na Sheria ya Michezo ya Kubahatisha.
Tarehe 6/11/2024, niliandika barua kwa Gaming Board kuhusu suala hilo, na tarehe 15/11/2024 nilipokea majibu. Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi. Baadaye, tulipangiwa kikao kingine tarehe 17/1/2025, ambapo bado sikuwa nimepata malipo. Kampuni ilidai kuwa kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, lakini kampuni ilikataa na kusema ilikuwa tayari kunilipa Shilingi milioni 3. Nilikataa kwa sababu sikuona haki kupokea milioni 3 wakati madai yangu kutokana na beti hiyo ni milioni 27.7.
Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano. Tarehe 18/2/2025, Gaming Board ilinijulisha kuwa imeshindwa kufikia mwafaka kati yangu na kampuni. Niliamua kwenda mahakamani, lakini shauri langu halikuweza kuendelea baada ya Pigabet kuwasilisha pingamizi kwamba Gaming Board haikuwa imetoa uamuzi kuhusu suala hilo, hivyo ikahoji kwa nini nimeenda mahakamani. Mahakama ilikubaliana kwamba Gaming Board ilipaswa kutoa uamuzi rasmi, na si kufanya usuluhishi pekee.
Tarehe 13/5/2026, nilirudi Gaming Board kuomba kuongezewa muda kisheria na kusikilizwa upya. Niliwasilisha barua ya kuomba kusikilizwa upya, ombi ambalo lilikubaliwa, na baadaye niliitwa tena kwenye vikao viwili. Hata hivyo, mpaka sasa Gaming Board bado haijatoa uamuzi wa maandishi. Ninaendelea kuambiwa nisubiri bila kupewa muda maalum wa lini uamuzi utatoka.
Suala hili limeanzia mwaka 2024 hadi sasa mwaka 2026, lakini bado sijalipwa fedha zangu. Wakati huo huo, kampuni ya Pigabet inasisitiza kunipa Shilingi milioni 3 pekee, jambo ambalo silikubali kwa kuwa madai yangu ni Shilingi milioni 27.7. Pia, ninapowasiliana na kampuni hiyo kuhusu suala langu, nimekuwa nikijibiwa kwa lugha ambayo si nzuri.
Naomba mnisaidie kupaza sauti yangu ili mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuishinikiza kampuni ya Pigabet pamoja na Gaming Board kuchukua hatua na kutoa uamuzi wa haki. Nimejaribu kulifuatilia suala hili kwa muda mrefu bila mafanikio, na nina hofu kwamba likiachwa kimya kimya sitaweza kupata haki yangu.
Pole sana mkuu. Kwa kweli nimeisoma story yako na inaonekana umefanya juhudi kubwa sana kufuatilia suala hili tangu 2024 mpaka sasa. Usikate tamaa.Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7.
Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo ilithibitishwa na mfumo, ambapo nilipatiwa betslip pamoja na ujumbe wa mkataba. Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo, jambo ambalo ninaamini ni kinyume na General Terms and Conditions zao wenyewe pamoja na Sheria ya Michezo ya Kubahatisha.
Tarehe 6/11/2024, niliandika barua kwa Gaming Board kuhusu suala hilo, na tarehe 15/11/2024 nilipokea majibu. Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi. Baadaye, tulipangiwa kikao kingine tarehe 17/1/2025, ambapo bado sikuwa nimepata malipo. Kampuni ilidai kuwa kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, lakini kampuni ilikataa na kusema ilikuwa tayari kunilipa Shilingi milioni 3. Nilikataa kwa sababu sikuona haki kupokea milioni 3 wakati madai yangu kutokana na beti hiyo ni milioni 27.7.
Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano. Tarehe 18/2/2025, Gaming Board ilinijulisha kuwa imeshindwa kufikia mwafaka kati yangu na kampuni. Niliamua kwenda mahakamani, lakini shauri langu halikuweza kuendelea baada ya Pigabet kuwasilisha pingamizi kwamba Gaming Board haikuwa imetoa uamuzi kuhusu suala hilo, hivyo ikahoji kwa nini nimeenda mahakamani. Mahakama ilikubaliana kwamba Gaming Board ilipaswa kutoa uamuzi rasmi, na si kufanya usuluhishi pekee.
Tarehe 13/5/2026, nilirudi Gaming Board kuomba kuongezewa muda kisheria na kusikilizwa upya. Niliwasilisha barua ya kuomba kusikilizwa upya, ombi ambalo lilikubaliwa, na baadaye niliitwa tena kwenye vikao viwili. Hata hivyo, mpaka sasa Gaming Board bado haijatoa uamuzi wa maandishi. Ninaendelea kuambiwa nisubiri bila kupewa muda maalum wa lini uamuzi utatoka.
Suala hili limeanzia mwaka 2024 hadi sasa mwaka 2026, lakini bado sijalipwa fedha zangu. Wakati huo huo, kampuni ya Pigabet inasisitiza kunipa Shilingi milioni 3 pekee, jambo ambalo silikubali kwa kuwa madai yangu ni Shilingi milioni 27.7. Pia, ninapowasiliana na kampuni hiyo kuhusu suala langu, nimekuwa nikijibiwa kwa lugha ambayo si nzuri.
Naomba mnisaidie kupaza sauti yangu ili mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuishinikiza kampuni ya Pigabet pamoja na Gaming Board kuchukua hatua na kutoa uamuzi wa haki. Nimejaribu kulifuatilia suala hili kwa muda mrefu bila mafanikio, na nina hofu kwamba likiachwa kimya kimya sitaweza kupata haki yangu.
Kwa sasa, hii sio hoja. Amebet, ameshinda. Waachie wenye ushauri wa kumwezesha kupata haki yakeMnapata wapi nguvu ya ku-bet kampuni uchwara kama hizi.?
Fixed game ni zipiKama haikuwa fixed game wala bonasi lazima atalipwa. Kibaya ukikuta ni fixed game hapo aandike maumivu tu maana fixed game ni fraud
Komaa upate hii ni Haki Yako!Naitwa Silas John Charles. Nina malalamiko yangu dhidi ya kampuni ya Pigabet ambayo yamechukua muda mrefu bila kupata uamuzi, hali inayoninyima haki yangu ya kupata fedha ninazodai kiasi cha Shilingi milioni 27.7.
Tarehe 30/10/2024, niliweka beti yangu kupitia kampuni hiyo na beti hiyo ilithibitishwa na mfumo, ambapo nilipatiwa betslip pamoja na ujumbe wa mkataba. Baadaye, kampuni ilisimamisha mkeka huo bila kunipa taarifa. Nilikuja kubaini kuwa waliingia kwenye akaunti yangu na kuufuta (cancel) mkeka huo, jambo ambalo ninaamini ni kinyume na General Terms and Conditions zao wenyewe pamoja na Sheria ya Michezo ya Kubahatisha.
Tarehe 6/11/2024, niliandika barua kwa Gaming Board kuhusu suala hilo, na tarehe 15/11/2024 nilipokea majibu. Tarehe 13/12/2024, nilialikwa kwenye kikao cha usuluhishi kilichofanyika tarehe 16/12/2024. Katika kikao hicho, kampuni iliahidi kunilipa, lakini makubaliano hayo hayakuwekwa kwenye maandishi. Baadaye, tulipangiwa kikao kingine tarehe 17/1/2025, ambapo bado sikuwa nimepata malipo. Kampuni ilidai kuwa kiasi ninachodai ni kikubwa na kuniomba nipunguze. Nilikubali kushusha madai yangu kutoka milioni 27.7 hadi Shilingi milioni 20, lakini kampuni ilikataa na kusema ilikuwa tayari kunilipa Shilingi milioni 3. Nilikataa kwa sababu sikuona haki kupokea milioni 3 wakati madai yangu kutokana na beti hiyo ni milioni 27.7.
Baada ya hapo, tulisainishwa fomu ya kuonyesha kuwa usuluhishi umeshindwa kufikia makubaliano. Tarehe 18/2/2025, Gaming Board ilinijulisha kuwa imeshindwa kufikia mwafaka kati yangu na kampuni. Niliamua kwenda mahakamani, lakini shauri langu halikuweza kuendelea baada ya Pigabet kuwasilisha pingamizi kwamba Gaming Board haikuwa imetoa uamuzi kuhusu suala hilo, hivyo ikahoji kwa nini nimeenda mahakamani. Mahakama ilikubaliana kwamba Gaming Board ilipaswa kutoa uamuzi rasmi, na si kufanya usuluhishi pekee.
Tarehe 13/5/2026, nilirudi Gaming Board kuomba kuongezewa muda kisheria na kusikilizwa upya. Niliwasilisha barua ya kuomba kusikilizwa upya, ombi ambalo lilikubaliwa, na baadaye niliitwa tena kwenye vikao viwili. Hata hivyo, mpaka sasa Gaming Board bado haijatoa uamuzi wa maandishi. Ninaendelea kuambiwa nisubiri bila kupewa muda maalum wa lini uamuzi utatoka.
Suala hili limeanzia mwaka 2024 hadi sasa mwaka 2026, lakini bado sijalipwa fedha zangu. Wakati huo huo, kampuni ya Pigabet inasisitiza kunipa Shilingi milioni 3 pekee, jambo ambalo silikubali kwa kuwa madai yangu ni Shilingi milioni 27.7. Pia, ninapowasiliana na kampuni hiyo kuhusu suala langu, nimekuwa nikijibiwa kwa lugha ambayo si nzuri.
Naomba mnisaidie kupaza sauti yangu ili mamlaka husika zilifuatilie suala hili na kuishinikiza kampuni ya Pigabet pamoja na Gaming Board kuchukua hatua na kutoa uamuzi wa haki. Nimejaribu kulifuatilia suala hili kwa muda mrefu bila mafanikio, na nina hofu kwamba likiachwa kimya kimya sitaweza kupata haki yangu.
Bwana mdogo. Bonasi sio sheria ni hisani na ni biashara sasa mwenyewe umekiri kuwa wanachopata nikidogo kuliko wanachoingiza wakaondoa japo hawaja kuambia lakini sababu uliyotoa inatosha kabisa kusitisha hiyi bonasi
Scenario kama hii imeshazigharimu timu nyingi hasa Italy na JapanUnaweza beti fixed odds. Ukafidiwa hela ya take it or leave it pale utakapolalamika kunyima ushindi. Ni hela ambayo unapewa kufungwa mdomo na msizungushane, endapo hutaki nenda mahakamani msomeane vifungu na ushindwe.
Ambacho hujui makampuni hayataki usumbufu. Mfano unaweza kuilalamikia Vodacom kwenye jambo fulani ambalo linaichafua na kwa sababu wabongo wengi ni vilaza hawana logic na wanachukia matajiri wakihisi wao ndio wamewafanya wawe maskini, basi wana-side na mnyonge. Sasa Voda inaweza piga hesabu ya gharama za mwanasheria, usumbufu na bad publicity ikauita ikupe labda 5M muachane. Hiyo haimaanishi ukikataa kupokea hela utawashinda ukienda mahakamani. Wala haimaanishi wamekosea ndio maana wametaka kukulipa.
Ni match za kupanga matokeo mfano Simba inacheza na timu ambayo tiyari imeishashuka daraja hata ingefunga. Na bado Simba inataka pointi 3 ili iikimbize Yanga kileleni, na wakubwa wa timu inayoshuka daraja wanajua hawana future nzuri. Kwahiyo wanapanga na Simba ili wafungwe mfano 4-1. Sasa odds za matokeo exact ya 4-1 unazijua zinakuwa nyingi kuanzia 5 au 6 uko.
Au kwenye kesi hiyo, Yanga wanaitafuta timu inayoshuka daraja wanaiambia kaza muifunge Simba au mpate sare, tutawapa 40M. Wanakaza vibaya mno.
Kwahiyo kampuni za kubeti zinasoma trend zinashangaa mbona kuna watu kama 50 ndani ya lisaa wameweka beti ya Simba 4 - Timu XXX 1 full time. Hapo wanafungia mechi au wanafungia option au wanaweka limit ya stake.
Alternatively, kampuni mojawapo ya kubeti inapiga hesabu total stake ya watu wote waliopata hizo fununu ni ngapi labda total ni zaidi ya 300M kwenye ile fixed, inamtafuta refa na kiongozi wa timu ile dakika za mwisho kabisa kabisa inawapa pesa na kuwapangia matokeo labda Simba wakaze ifunge 3 ile timu nyingine isifunge goli kabisa (sababu haina uwezo wa draw au kuifunga Simba). Striker wa timu XXX akionyesha dalili za kushambulia sana anatolewa anaingia boya boya.
Mara nyingi wanaambiwa kipa, refa, manager wa timu. Wachezaji wengine nao wanaweza kuwa walisanuka wakaweka 4-1 ila dakika za mwisho kabisa deal limesukwa hawajui. Kwa kawaida huwa hawashiki simu dakika kadhaa kabla ya mechi.
Vitimu vidogo vidogo vinakula mlungula π€£ halafu tatizo wanavujisha ,Scenario kama hii imeshazigharimu timu nyingi hasa Italy na Japan
Kuvuja kuna tokea mwenge ukiruka kijiji, unashangaa baada ya mechi wenzako wanakula bata la hatari wewe pangu pakavu ikatokea ukajua kilichotokea unaunguza pichaVitimu vidogo vidogo vinakula mlungula π€£ halafu tatizo wanavujisha ,
πππ hicho kijiji kipo Korea au Tanzania hiiMtu akidhulumiwa 200K na yupo Chaminhwa
Sahihi kabisaKama utashinda laki mbili na hamsini kihalali halafu usilipwe ni hasara kwa kampuni. Hiyo laki mbili na hamsini wakikulipa kuna uwezekano ukawaingizia milion 20 katika maisha yako ya kubetia kwenye hiyo kampuni. Ndio maana kampuni huwa zinanunua wateja mpaka kwa dollar 500$ au kukupa hata bonasi ya milion 1 ,, biashara ya betting mafanikio ya kwanza ni uaminifu na kulipa watu kwa wakati ndio maana unaona sio rahisi kampuni ya betting kukutapeli hata kama haijasajiliwa Tanzania. Kwanini wakunyang'anye pesa kwa nguvu wakati wewe mwenyewe unaweza kuwapa kiulaini ,, yani wakatalie laki mbili wakati unaweza kuja kuwapa milion 5?
Sipigi kampeni ila sportpesa wanalipa hela bila longolongo, shida inakuja kwenye hizi kampuni zilizosajiliwa nje ya Tanzania kama hao kina fansport ππ€Umewahi kushinda kiasi gani mkuu,mim sport pesa niliwahi kushinda 1.8 nilitoa bila mbambamba