Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

Yaani unalazimisha kushabikia simba na yanga aisee mpira wa bingo ni uchafu sana tena ukisema mfano wewe ni azam utasikia jitu azam Haina mashabiki Sasa najiuliza unasemaje timu ya mpira Haina shabiki
 
Mzee Mimi sio jinga jinga kama wewe ambalo linashabikia timu za serikali ya ccm simba na yanga Mimi nafuata mpira mzuri tanzania mpira hamna ni uchafu wa jalalani
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ tengeneza yako ya Gen z uwenda ikawa nzr
 
Tatizo letu kubwa Watanzania hatupendi kusikia ukweli.
muulize Sheffield United tu kitimu kidogo england ambacho kipo ligi daraja la kwanza yaani sio ligi kuu atafananisha na timu Gani tanzania
 
Bw.mdogo unakimbiza kuandika thread.
Hongera kwa hilo, ila rekebisha uandishi wako.
 
Hapa kuna aina mbili za watu kuna mpenzi wa mpira na shabiki wa mpira, mpenzi wa mpira huyu automatically anakuwa ni mlevi wa mpira haujalishi unachezwa na nani au na mazingira ya aina gani. Mara nyingi mpenzi wa mpira ameucheza huu mpira mitaani huko hivyo umwambii kitu kuhusu mpira iwe ni ndondo, ligi kuu, au mashindano yoyote yale kwake ni burudani.

Hawa mashabiki wa mpira ndio hawa sasa, tunaosikia wanaosema kuwa mechi ya ligi kuu ni takataka, hawa ni wale vijana waliojiona wamekulia maisha ya kiushua, mpira kuucheza hawaujui labda acheze play station. Na kutokana na mazingira ya geti kali kwao, hata mechi zile za mtaani kakosa kuangalia.
 
Wewe kweli kilaza kwahiyo hamna mchezaji wa kishua ambaye anapiga mpira kuliko wewe mvuta bangi wa mtaani Kwa akili Yako timamu halland ambaye amekua kishua na wewe nani anajua mpira unataka umdanganye nani hapa mpira hauna wakishua Wala wa mtaani anaeujua anaeujua tu
 
Lakini, kwa kawaida kushabiki jambo au kitu huwa ni mapenzi tu ya mtu husika, yaani hisia za ndani. Huwa huyu anapenda hiki, lakini yule hakipendi kabisa.

Ndiyo maana huitwa ni ushabiki, ni kama ambavyo wewe ulivyo shabiki wa huo mwandiko wako, japo hauna aya, nukta, mkato wala alama. Lakini, mwenyewe unaupenda.

Utashangaa anaweza kutokea mtu akauita huo mwandiko ni uchafu, ila bado mwenyewe unaupenda tu.

Ova
 
Mpira wa tanzania ni uchafu kama wa jalalani
 
Umesoma ukaelewa, au umekurupuka tu kujibu? Nimezungui shabiki vs mpenzi wa mpira. Halland ni mpenzi wa mpira na uwezi kusikia hata siku moja akatoa kauli kuwa mashindano ya sehemu fulani ni takataka.
 
Acha habari zako umesema wa mtaani ndio wanajua mpira nimekuuliza halland na wewe wa mtaani nani anajua mpira sio unaleta habari za mpenzi wa mpira upo moyoni mwake halland mpaka umsemee
 
Eeh wacha wee!
 
Baada ya kufurumushwa kwenye ule uzi wako wa kumtafutia mzungu mke ndio umeanza kutusema na mpira wetu?
Hawa vijana wakikaa na wazungu siku mbili tatu kila kitu wanakidharau hapo subiri zitakuja nyuzi nyingi za uchafu..
 
Acha habari zako umesema wa mtaani ndio wanajua mpira nimekuuliza halland na wewe wa mtaani nani anajua mpira sio unaleta habari za mpenzi wa mpira upo moyoni mwake halland mpaka umsemee
Wewe kweli bogus, sasa kama Halland angekuwa sio mpenzi wa mpira, angeucheza? Mbona una akili ndogo kiasi hiki. Kuandika unaandika hovyo, kusoma nako na kuelewa hovyo, kufanya reasoning nako hovyo.
 
Wewe kweli bogus, sasa kama Halland angekuwa sio mpenzi wa mpira, angeucheza? Mbona una akili ndogo kiasi hiki. Kuandika unaandika hovyo, kusoma nako na kuelewa hovyo, kufanya reasoning nako hovyo.
Kwahiyo wewe nguchiro Kila anaecheza mpira ni mpenzi wa mpira hivi mbona akili Yako fupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ