Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Alishapata nauli badala ya kusema katapeli labda yupo njiani safarini.Jamaa ajakimbia hawezi kushika simu aingie Jf na yupo na majonzi ya kufiwa , ichukuliwe namba pale juu mpigie na uletwe mlejesho hapa watu watulie, ni rahisi kuongea na cm kuliko kuchat na upo msibani ,
Wewe na mwandiko wako mkubwa vipi umetuma ?HAYA MASWALI HUWA HAYANA MSINGI KWA WATU MUWE MNATOA MSAADA AU KUKAA KIMYA ELEWA STUATION YA MTU BASI KAMA HAIKUIINGII AKILI IPOTEZEE AKISHAKUJIBU HAYO MADWALI UTAMPA MSAADA?
Hivi vikundi mama yetu morio Jaji Mfawidhi alisema ety wachaga wanavinywea pombe tuu cc min -meUnaishije kwani? Wenzio wanajiunga vikundi vya ujirani mwema ili kuepuka aibu kama hizo...acha ukaidi ishi vizuri na majirani..badilik
Wewe umeshawahi kusafiri city to city Tanzania?Watu wameshapigwa tayari jamaa ameshachangiwa ametokomea mitini amewaachia thread yake tuangaike nayo.
Wahuni wapo wengi wapo radhi waue mzazi ili wapate mchango
Unaishije kwani? Wenzio wanajiunga vikundi vya ujirani mwema ili kuepuka aibu kama hizo...acha ukaidi ishi vizuri na majirani..badilik
Kwanza huyo Max unampata saa ngapi? Ilikuwa zamani tunapiga wote gumzo humu sasa hivi majukumu yameongezeka anaongea na mabalozi wewe umletee issue za laki si atakuona akili zimeanza kukuruka?Maxence ni nani yani kwenye shida za watu yeye nani?
Amewahi kushinda njaa? Amewahi pigwa na maisha haelewi anatokaje na akaja kuwa rescued na watu baki?
Oya we jamaa huyo max wenu hapa namkataa mimi nasaidia watu sanaa na sijawahi weka doubt kwao na uwezo wangu huu huu mdogo sana
Eti nauli tu ya bukoba umwite Maxence mello WTF
Duuuh ila wewe, khaaa! 😂😂😂Dear tukisema "mental health is real" mtuelewe, pilipili haipo shambani mwake sijui ilimpalia vipi, lol
Una Hoja nzuri na ya maana kabisa, 👏👏👏Tujitahidi kuwa kwenye vikundi vya kusaidiana mitaani tunamoishi haya maisha ya kujifanya private yatawamaliza , majanga hutokea ghafla bila kutarajia hata vikundi vya kuchangiana ukiwa na shida unakopa humo bila tatizo lolote
😂😂😂😂Kwanza huyo Max unampata saa ngapi? Ilikuwa zamani tunapiga wote gumzo humu sasa hivi majukumu yameongezeka anaongea na mabalozi wewe umletee issue za laki si atakuona akili zimeanza kukuruka?
Sasa aliwezaje kuchat wakati akiomba nauli? Au majonzi kapata baada ya kuchangiwa?Jamaa ajakimbia hawezi kushika simu aingie Jf na yupo na majonzi ya kufiwa , ichukuliwe namba pale juu mpigie na uletwe mlejesho hapa watu watulie, ni rahisi kuongea na cm kuliko kuchat na upo msibani ,
Fika shekilango mabasi ya bukoba kwa Kaizegere , yule mcha Mungu, utapata tiketi ya bure, ukipost hapa watu watakupatia ya kula njiani.Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu
Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo
Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo
Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo
Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli
safi sana afike salamaHuyo kijana yupo kwenye basi kuelekea kwao.
Kaondoka na Kaizirege bus services asubuhi ya leo. Mnaweza kumfuatilia huko mnaotaka
NDIOWewe na mwandiko wako mkubwa vipi umetuma ?
Kongole kwako mkuu.Huyo kijana yupo kwenye basi kuelekea kwao.
Kaondoka na Kaizirege bus services asubuhi ya leo. Mnaweza kumfuatilia huko mnaotaka
Safi sana 🤐 Allah Amtangulie Aseee....Msiba Usikie Kwa Jirani Tyu Jaman 🙃🙏Huyo kijana yupo kwenye basi kuelekea kwao.
Kaondoka na Kaizirege bus services asubuhi ya leo. Mnaweza kumfuatilia huko mnaotaka
Bora kuomba,kuliko kuiba.View attachment 3689603
Mtu mzima anakuja JamiiForums kuomba elfu tatu (3,000) ya kula na familia yake! Hivi huyu mtu yuko serious kweli na maisha yake? Leo umepewa hiyo elfu tatu, umekula na familia yako, pesa imeisha. Sasa kesho mtakula nini? Na kesho kutwa je, utaendeleaje kuendesha maisha ya familia yako?
Shida nyingine ni kujiendekeza na kukubali kujivua utu wako mwenyewe. Maisha yana changamoto, lakini si kila changamoto unatakiwa kuikimbilia kwa kuomba omba bila kuwa na mpango wa kujikwamua.
Ukiendelea na huu uduanzi, ipo siku hata mkeo atakukimbia, kwa sababu unadhalilisha familia yako mwenyewe. Mwanaume mwenye familia anapaswa kufikiria namna ya kujikwamua kiuchumi na kujenga kesho bora, badala ya kuifanya familia yake iishi kwa kutegemea huruma za watu kila siku.
Hakuna hoja nzuri.. shida sio maoni ya mtu utekelezaji ndio tatizo.! Hii nchi ina madalali wengiUna Hoja nzuri na ya maana kabisa, 👏👏👏