Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Hii ni 2026.
 
Mkuu The Icebreaker,
Asante kwa ushahidi japo hatupendi mtu akichunguzwa kisa tu ameleta changamoto yake, ila kama una akili timamu huwezi kutoa pesa kizembe tu.

Watu wapo kwenye jamii zenye shida, wanaona watu wao wakitaabika kila siku, wanajifanya kuleta huruma kwa "the unknown " wakati watu wao wanakufa njaa huko.
 
Any feedback?
 
Ni noma sana.
 
Kwani umemchangia chochote Mkuu?
Sijamchangia chochote ila kuna member niliwahi kumchangia alisema ana changamoto ya kiafya nikamtumia elfu 23 ,kesho yake kuna nyuzi nilikumkuta amecomment kwamba yupo hoi amelala ana hangover ya pombe.ina maana pesa yangu kaenda kunywea pombe.
Watu wa aina hii uwa wanakuwa na i'd nyingi tofauti.
Matapeli ni kawaida kuwa na id nyingi
 
Sasa kama wewe hujatoa chochote kwanini unaumia sana yeye kuchangiwa...
Naona hadi umeenda kufukua nyuzi zake za nyuma huko...

Unambeza kwamba kila siku kuomba omba humu...Hivi unaijua shida vizuri Mkuu? Wewe Mwanaume bhana...uwe na kiasi hasa unachoongea au unachoandika...
 
Daah,
Ukawa unamfuatilia,labda alinunua dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…