The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Labda pengine changamoto yake ya kiafya tiba yake ni Pombe.Sijamchangia chochote ila kuna member niliwahi kumchangia alisema ana changamoto ya kiafya nikamtumia elfu 23 ,kesho yake kuna nyuzi nilikumkuta amecomment kwamba yupo hoi amelala ana hangover ya pombe.ina maana pesa yangu kaenda kunywea pombe.
Watu wa aina hii uwa wanakuwa na i'd nyingi tofauti.
Matapeli ni kawaida kuwa na id nyingi
Ogopa sana kusaidiwa na mtu masikini,msaada wake unaweza kukutokea Puani.Daah,
Ukawa unamfuatilia,labda alinunua dawa.
Naona huelewi lolote anzia page namba 2 utaelewa.Sasa kama wewe hujatoa chochote kwanini unaumia sana yeye kuchangiwa...
Naona hadi umeenda kufukua nyuzi zake za nyuma huko...
Unambeza kwamba kila siku kuomba omba humu...Hivi unaijua shida vizuri Mkuu? Wewe Mwanaume bhana...uwe na kiasi hasa unachoongea au unachoandika...
Aisee,yaani noma,Ogopa sana kusaidiwa na mtu masikini,msaada wake unaweza kukutokea Puani.
Umesoma alichoandika bila kuelewa na kwa kuwa tayari unataka kuleta hoja yako jamaa ni tapeli unataka watu waamimi hivyo...siyo sawa..Naona huelewi lolote anzia page namba 2 utaelewa.
Anasema ana uchungu amefiwa na mama yake,kuna thread anasema hajalelewa na mama yake ameachwa takribani miaka 20 iliyopita na alisema hana time nae..leo hii huo uchungu ameutolea wapi?
Huyu ana drama nyingi.
Yes fukunyu za nyuzi za nyuma ni kujaribu kumshushia credibility, hata hivyo watu habadilika. Mambo niliyoandika miaka 2 nyuma siyo lazima yawe uhalisia wa leo!Umesoma alichoandika bila kuelewa na kwa kuwa tayari unataka kuleta hoja yako jamaa no tapeli unataka watu waamimi hivyo...siyo sawa..
Yes alisema amelelewa na Baba yake Mkubwa...Akaja kumjua Mama yake baadaye kwa siri...Sasa wewe shida yako ni nini?
Hujamchangia chochote...hata pole hujampa...ila unahangaika kwenye huu Uzi kuliko mleta mada mwenyewe....
Mambo hayako hivyo Mkuu....ukiona anafanya utapeli acha awatapeli walioamua kutapeliwa...
Hujatoa mchango wako jifunze kukaa kimya tu....itakusaidia
Wabongo wepesi kuchangia ujinga, kuna yule dada alikua Wasafi FM aliingia Instagram akawaambia sijui anadaiwa kodi ya pango pesa kadhaa wamchangie si wakaingia kingi, wakachanga haswa alivyozikusanya akaenda zake mbuga za wanyama kula kuku. Watu wanaacha kuchangia watu wenye uhitaji wanachangia kupigwa hii nchi sijui lini tutaamka,. Nafikiri siasa ya ujamaa ilitulemaza si unaona watu wanachanga pesa nyingi kwa harusi lakini hebu waombe za msaada mtoto aende shule ni ngumu. Hii nchi inakiwa ugumu wa maisha uzidi mara 50 ili watu wapate akili kama Kenya au Nigeria vile, akili kichwani. Halafu hawa matapeli uwa wanakua wawili au watatu wanasapotiana, ili wakizikusanya wakazinywe vizuri huku wakipanga another strike.Kuna dada mmoja alipost facebook kuwa amehamia nyuma yenye mauzauza akaomba msaada wa pesa ili aweze kuhama kwani ndio kwanza ana siku kadhaa tu. Halafu amepata taarufa kuwa mwenye nyumba ndio mambo yake hayo anataka tu ukimbie then ampangishie mwingine .
Lakini ghafla kwenye comments kuna account za wanaume ambazo zilikuwa zinzsisitiza kumchangia huyo mdada nikaona hapa tayri watu wanaenda kupigwa
Naunga mkono hoja yako kwa utulivu mkubwa. Jamaa anaupiga mwingi mno!#FreeTumbleKumene 😂
Humu huwa kuna drug lords wanaotoa pesa bila second thoughts.kama una akili timamu huwezi kutoa pesa kizembe tu.
Mpe ramani basi ya kazi hata ya vibarua akishindwa sasa hapo ndo umkalie kooni!!Dogo miyeyusho sana lazima aambiwe ukweli afanye kazi asipende vya mtelezo.nyie mnaompa misaada ndio mnamlemaza anajua fika akipatwa na shida anajua JF watamchangia.
Ana miaka 30 ameoa ana watoto 4 kila siku kupiga mizinga jamii forum..jukwaa la betting ukishinda mkeka anakufata PM umpe donei.
Mwambieni apambane afanye kazi ana familia kubwa inamtegemea.
Mboju ukishamaliza kuzika uje tena JF uwaombe nauli ya kurudia
Huenda ikawa hata huyo unayelumbana naye ni mhusika aliyefiwa....JF ya siku hizi imevamiwa na wahuni.Naona huelewi lolote anzia page namba 2 utaelewa.
Anasema ana uchungu amefiwa na mama yake,kuna thread anasema hajalelewa na mama yake ameachwa takribani miaka 20 iliyopita na alisema hana time nae..leo hii huo uchungu ameutolea wapi?
Huyu ana drama nyingi.
Naona huelewi lolote anzia page namba 2 utaelewa.
Anasema ana uchungu amefiwa na mama yake,kuna thread anasema hajalelewa na mama yake ameachwa takribani miaka 20 iliyopita na alisema hana time nae..leo hii huo uchungu ameutolea wapi?
Huyu ana drama nyingi.
Niwe nimetoa mchango au sijatoa, mwambieni ajifunze kujipambania. Ana miaka 30, mke na watoto 4, ataomba misaada mpaka lini? Shida haipigi hodi, lakini kila changamoto si sababu ya kukimbilia JamiiForums kuomba michango...Umesoma alichoandika bila kuelewa na kwa kuwa tayari unataka kuleta hoja yako jamaa ni tapeli unataka watu waamimi hivyo...siyo sawa..
Yes alisema amelelewa na Baba yake Mkubwa...Akaja kumjua Mama yake baadaye kwa siri...Sasa wewe shida yako ni nini?
Hujamchangia chochote...hata pole hujampa...ila unahangaika kwenye huu Uzi kuliko mleta mada mwenyewe....
Mambo hayako hivyo Mkuu....ukiona anafanya utapeli acha awatapeli walioamua kutapeliwa...
Hujatoa mchango wako jifunze kukaa kimya tu....itakusaidia
Daah hapa kuna upigajiNaona huelewi lolote anzia page namba 2 utaelewa.
Anasema ana uchungu amefiwa na mama yake,kuna thread anasema hajalelewa na mama yake ameachwa takribani miaka 20 iliyopita na alisema hana time nae..leo hii huo uchungu ameutolea wapi?
Huyu ana drama nyingi.
Tukiongea tunaonekana tuna wivu tuna roho mbaya,kumbe mtu ndiyo tabia yake kuomba ombaBETTING NA FOREX imekuwa kiwanda cha kutengeneza vijana ombaomba wasiotaka kufanya kazi na kujituma. Maisha ni magumu ila sisi kama vijana tujifunze kujituma na sii kuomba omba
Hakuna alie mkamiifu wote tunahitaji msaada kwa namna moja ama nyingine lakini kufanya maisha yako yote kuwa ombaomba sii tabia nzuri nahii haikubalikiTukiongea tunaonekana tuna wivu tuna roho mbaya,kumbe mtu ndiyo tabia yake kuomba omba