Kuna dharura au ww umejihakikishia kesho yakoNiwe nimetoa mchango au sijatoa, mwambieni ajifunze kujipambania. Ana miaka 30, mke na watoto 4, ataomba misaada mpaka lini? Shida haipigi hodi, lakini kila changamoto si sababu ya kukimbilia JamiiForums kuomba michango...
Leo mmemchangia, msiba ukiisha atapata wapi pesa ya kurudi Dar,? hasa ukizingatia yupo kijijini? Kusaidiana ni jambo jema, lakini msaada unapaswa kwenda sambamba na kujipanga. Huwezi kutegemea michango ya watu kila unapokutana na changamoto. Maisha yanahitaji mipango na kujitegemea, maana misaada ina mwisho.
Misaada ina kikomo, na huruma zenu zisizo na mipaka zinajenga utegemezi badala ya kumfundisha kujitegemea.
Sasa huyu sio dharula kaweka mazoea,ni vile haumfahamuKuna dharura au ww umejihakikishia kesho yako
Don't call a brother lazy because its your winning season.Unashindwa elfu 3 ya kula mpaka unakuja JF kuomba?
Acha kutia huruma fanya kazi,halafu wewe ndio mkubwa katika familia
David Harvey
Wewe ni jamaa angu humu jukwaani ila kwa hili naomba nisikubaliane nawewe
Unajua sehemu gani za kukaa kimya?
Ok naomba nikueleze
1.Be silent when your words can offend someone
2.Be silent when silence can save bonds
3.Be silent when your words can destroy friendship
Nadhani kukaa kimya ni Busara
Njoo kitambaa cheupe hapa tabata mleta mada anapanda juu ya meza š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Any feedback?
Mleta mada tapeli, hakuna ukweli mwingine zaidi ya huu.Sema bana mwisho wa siku ukweli utajulikana tu.
ChaiDavid Harvey
Wewe ni jamaa angu humu jukwaani ila kwa hili naomba nisikubaliane nawewe
Unajua sehemu gani za kukaa kimya?
Ok naomba nikueleze
1.Be silent when your words can offend someone
2.Be silent when silence can save bonds
3.Be silent when your words can destroy friendship
Nadhani kukaa kimya ni Busara
Kazi hiyo iyo akiba unaikutia wapi?Dogo miyeyusho sana lazima aambiwe ukweli afanye kazi asipende vya mtelezo.nyie mnaompa misaada ndio mnamlemaza anajua fika akipatwa na shida anajua JF watamchangia.
Ana miaka 30 ameoa ana watoto 4 kila siku kupiga mizinga jamii forum..jukwaa la betting ukishinda mkeka anakufata PM umpe donei.
Mwambieni apambane afanye kazi ana familia kubwa inamtegemea.
Mboju ukishamaliza kuzika uje tena JF uwaombe nauli ya kurudia
naam , mfanyabiashara yeye apost tu kazi zake kwenye mitandao mbalimbali wateja wapoHata Mimi niliwahi kununua bidhaa kwa Mwana Jf maeneo ya Yombo Malawi ila nilimkuta mwanamke wake dukani .
Kwenye simu nilijitambulisha from Jf , na jamaa alitamani tuonane ila hakuwa around siku hiyo
Poa kabisa,,,Kila nikitizama kwenye tent hapa msibani sikuoni.Nipo kipenzi, mambo..
Ndio niko njiani naelekeaš„²Poa kabisa,,,Kila nikitizama kwenye tent hapa msibani sikuoni.
Upo na nauli ya kurudia?Ndio niko njiani naelekeaš„²