Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Wewe unatumia source gani, kupata taarifa
 

Kwa hiyo Israel itakuwa inalipiza kwa mafataki?



 



 
Daa! Umeandikia umelegea sana aisee!!! "Ilan" "alijezila" "ulusi". Hizi waachie kina FaizaFoxy.
Uko upinde Nini?!
 
Iran makobaz hawana akili hata kidogo na hata followers wao ni most stupid individuals, why? Wangekuwa na akili, Iran wangeogopa sana sanaaa kuona 385 strikes wamefanya na walisema ni very sophisticated arsenals, ila hakuna damage hata kidogo imetokea sbb zimetunguliwa almost 99.4%, yaani ni missiles 7 tu zimetua kiwanja cha jeshi na sio imefanya uharibifu kivile kwani ndege zinaruka na air base iko vizuri kabisa kwani imeangukia pembeni mwa kiwanja na kuchimba vishimo tu. Hii ingewashtua mno, ila sasa subiria Israel inaenda kujibu mapigo matakatifu.

Iran failed long ago, now Israel war cabinet said, they will HIT IRAN VERY VERY HARD AND LESSON WILL GO EVERY PART OF THE WORLD..!!

So Iran subirieni kipigo kitakatifu toka Israel and that will finish Iran and will be like Iraq, Libya or Syria or Aghanistan, hizi nchi hazina kitu tena, zimevurugwa hata hawajui leo ni lini au huu ni mwaka gani, Iran will be taken by nightmares watashangaa, for all those more than 385 strikes, hakuna hata damage imetokea Israel, kama ni mtu mwenye akili lazima uogope sana na kujiuliza, ila sbb Iran is blind, subiri sasa utaona retaliation ya Israel, itafunga Iran kabisa na hawatadhubutu tena kujaribu kujibu na Ayatollaah na dela lake na midevu michafu kunuka kama beberu inaenda kumalizwa, ndio maana Al Jazeera wameonyesha mashimo 2 mabomu yaliotua air base ya kijeshi sbb hakuna damage yoyote, nyoko zao
 

Alijezila, Ilani, Islail, ulusi ndo nini hizo 🙏
 
Hizo air defence ndio zinatakiwa zipelekwe Ukraine pale maanazinapiga kazi sio poa.
 

Umeandika kama mpemba 😃
 
Al Jazeera Iran imewa disappoint sana maana wenyewe walikuwa washajiandaa kuonyesha maangamizi mara ghafra wanaambiwa " The operation has been concluded" na huku shughuli Israel zinaendelea kama kawaida
 
 

Attachments

  • IMG_7826.jpeg
    154.7 KB · Views: 3
Tunachokiona ni kuwa makafiri wengi Marekani na Ulaya watakuwa waislamu kupitia hivi kwani wataona waliyokuwa hawakuwahi kuyaona.Ndio maana huko huko wanaimba Death to America,death to Israel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…