Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

Achana ni hizo ngonjera ww
 
Unajua Israel walishambulia ubalozi wa Iran Damascus ili Iran ajibu waingie kwenye vita washambulie vituo vyake vya nyuklia.

Sasa unajua program ya nyuklia ya Iran haijafikia level ya kutengeneza bomu la nyuklia kwaiyo wakileta ujuaji watapigwa na progress yote waliyoifikia kwa miaka mingi na gharama kubwa ya machozi, jasho na damu itakua imefutika.

Busara hapo ni kuwa wapole mpaka siku nao wawe nuclear state ndo itakua hakuna anaeweza kuwagusa kijinga jinga tena, refer North Korea.

With regard to hayo makombora ilikua ni namna tu ya ku save face kuwaonesha raia wake na nchi zinazowaunga mkono kuwa wali revenge lakini kiukweli walitoa taarifa mapema kwa Marekani na ultimately kwa Israel juu ya makombora ya aina gani watatumia, wamelenga wapige wapi, yapo mangapi etc kwahiyo Israel walijiandaa. Kumbuka hata yule general wao (Soleimani) alivyouawa Iraq na Trump, same case.

Uzuri Iran wenyewe walijua mtego uko wapi wakauruka.

Hii dunia pambana uwe tu na nyuklia ndo utakua na amani.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
We unatupanga tu mkuu
We unatupanga tu na stori zako za kuunga, hata mwandiko wako unaonesha mara Ilani, habali ndio nini mkuu?
 
Waislamu wanaingia magharibi kuliko wakristo na dhehebu zingine zinavyoingia nchi za kislamu.
Mkuu ukristu ulianza kabla ya uislamu mkuu hata katika hizo nchi zilizo za kiislamu hivi sasa. Ko ni kawaida kuenea hivi sasa coz ukristu ulikwishakuwepo maeneo hayo kitambo. Fuatilia vizuri historia ya kila kitu.
 
Reactions: Tsh
Tatizo medias zinazokulisha hiyo taarifa ni monopolysed by Jews, unategemea waseme wamechapwa, madhara ya hizo unazoziita baruti (drones),anazijua Benjamin Nentanyahu, waziri wake wa ulinzi na viongozi wao waaandamizi wa karibu

Is AL JAZEERA MONOPOLISED BY JEWS? SINCE WHEN?
 
Ushabiki wa kijinga sana.
 
Mkuu ukristu ulianza kabla ya uislamu mkuu hata katika hizo nchi zilizo za kiislamu hivi sasa. Ko ni kawaida kuenea hivi sasa coz ukristu ulikwishakuwepo maeneo hayo kitambo. Fuatilia vizuri historia ya kila kitu.
Sawa sawa mkuu.
 
Unaweza kututhibitishia hayo unayoyasema?
 
Haya maislamu machizi kweli,kwa hiyo Wairani ni ndugu zenu?
 
....wanakwambia, na wewe wamekwambia.
 
Oooh Muajemi hivi mara muajemi vile kumbe hamna kitu kabisa.Netanyahu kasema andaeni mabango ya pray for Iran!
Na namsikia hapa kasisitiza kwamba wakae mkao mzuri tu wa kupewa daku hao kobazi.
Kasema watapiga na kupiga tena no mercy.
 
Siku hizi umekuwa mpiga lamli,ushahidi wa kupigwa uko wapi,tunapowaambia Israel ni habari nyingine muwe mnaelewa.
 
Sasa mbona hawataki waandishi wa habari kuchukua picha.
Je ndege ipi iliyoruka na vipi kama video ya siku nyingi,
yani lipigwe bomu halafu eti hamna damages tumia akili sio kua upinde basi kila kitu akisema bwana wenu mnakichukua hivyo hivyo na ndio maana hata shule uliambiwa binaadam wa kwanza alikua nyani hujapinga unaamini kwa sababu kasema bwana wenu.
 
al jazeera wamepigwa marufuku kufanya kazi israel, hawawezi kupata habari kule tena. bunge lao lilikaa likapitisha kuwa al jazeera walishiriki kwa namna moja ama nyingine kusapoti au kufanya ugaidi wa october 7, hivyo wamepigwa marufuku. hatutakiwi kukimbia ukweli, israel amepigwa na pamemuuma ndio maana anajiandaa kurudisha kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…