Nimeshuhudia kwa macho yangu Denzel Washinton akizeeka

Ukimuangalia Arnold Shwarzenneger au Ronie Coleman,ukawakumbuka ujana wao na yale manguvu yao,ndio utaamini kua Time ndio kila kitu,muda hua hausimami wala haumsubiri mtu,

Just enjoy life where you are now,Time slips like grains of sand never to return again.
 
Kuezeka bwana kunaanzaga mdogo mdogo utaanza kusikia unaitwa we mtoto mara ghafla wew kijana ,inakuja wew kaka mara wew mkaka, mara unaitwa wew baba ,mara wewe mbaba hapo ujue kinacho fuatia ni kuitwa mzeze mwisho babu. Ila kwa Denzel naona pombe ndo zinamzeesha.
 
Hiyo muvi inaitwa inside job au inside man? Halafu kama book of eli hujaiona kaitafute hutojutia
 
Si nasikiaga ni mlokole
Au ndio ulokole wa USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…