binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Yeah i seeβ¦Kweli,
Tunasema kumsifia mwanaume mwenzako ni uchoko,
Lakini angalia tunavyowasifia action stars kama Denzel na Jackie Chan
Tunavyotamani kuwa na miili kama ya bodybuilders
Tunavyopata sonona baada ya kuangalia maumbile ya porn actors....
Ungekuta wanaume wanachagua miili yao huko mbinguni wangechagua miili ya action stars na athletes.
Chanajabu ni nini? Everyboy eventual get old. Ni kumshukuru Mungu umeshuhudia kazi zake katika prime age yake.Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
Red handed!hahaa, caught in 4k.
hapa ndo nakumbuka wimbo wa one direction uitwao night changes "we only get older baby now I've been thinking about it lately"Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
Inawezekana kabisa,wenzetu hawashindwi kitu,ila kumbuka mama yake Kanye west alikufa sababu ya hizo kituActors sio Celebrity kivile sasa hivi kuna enzi appearance yako ndio inakuletea mkata hivyo wengi walikuwa wanfanya plastic surgery na face / neck lift...; sasa hivi sio issue kivile kwahio wanajiachia..., my point being Denzel hashindwi kuonekana kama kwenye Carbon Copy..., hapo anaweka dye na face / neck lift
Ulisoma nae Al-haramain islamic secondary ya Kariakioo au primary?Mimi nina mvi nyingi sana ila nikiinyoa panki langu na kupaka superblack utasema nina 30s kumbe nilisoma na maulid kitenge darasa moja,nakula hadi vibinti vya 2000
Shemeji Nita ku suprise ππYeah i seeβ¦
Kitu kingine najifunza kadri ninavyokua ni kuishi na ego za kiume, Mwanaume akinimbia kitu na tafsiri kuwa si yeye pengine ni ego yake.
Duh .Mi mwenyewe nimemuona Jakaya jana, nikasema kumbe uzee ukifika umefika.
74, jamaa anaikimbiza 80.Duh .
70 haidanganyi wazee...ππ
Wanawake siku zote hawazeeki na kuchoka kama sisi sababu kazi zao nyingi ni nyepesi au ni wakuletewa, fuatilia familia nyingi utamuona Babu kachoka zaid ya bibi, hata barabarani utamkuta bibi kamshika mkono mbabu na kumuongoza katika ombaomba.Nilianza kuangalia movie yake kitambo akiwa kijana kabisa ikiitwa mississippi masala, zikaja Training Day, Dejavu, Man on fire, Inside job, American gangster, Great debetors, Malcom X, Manchurian candidate, Antwoine fisher nk.
Huko kote alionekana akizeeka taratiiibu
Juzi nimeona picha yake akiwa na miaka 70, amezeeka ni babu, uzee is real.
Mke wake ambaye ni mkubwa kiumri kumzidi miaka4, mshangazi Paulleta bado mbichi kabisa.
Wanawake wamarekani na Ulaya hawazeeki ovyo.
View attachment 3214316
Kati yangu na wewe nani ni empty set? wewe kuandika Schwarzenegger hadi ku google.. Mimi sija google.. empty set mwenyewe.Why nikushukuru wakati jina limejaa tele google na sikwenda kugoogle. Empty set
Kati yangu na wewe nani ni empty set? wewe kuandika Schwarzenegger hadi ku google.. Mimi sija google.. empty set mwenyewe.