Anzia hapa. Kwacha 1~183 tsh. Hivi utakua na maendeleo kwa hali hii.
Kinachokusikitisha ni nini? 60% ya Uchumi wao unategemea Mafuta na hao ndio Wanaongoza Kwa mafuta Afrika unategemea nini?Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Sasa kama ni hivyo aliyelinganisha Tanzania na Nigeria alitumia vigezo gani? GDP ni pato la taifa. Pato zima la taifa ni matokeo ya kodi, mikopo, grants utalii na kila kitu. Hii haitegemei sana population bali uwekezaji katika nchi husika. Ndio maana Israel inatuzidi GDP licha ya kuwazidi population.Kwenye uchumi huwa wanalingaisha nchi zinazoendana...huwezi lingaisha Tanzania na marekani au nakuwait....popoluation it's matter kwenye GDP ndio maana mwisho wa siku Kuna kitu kinaitwa GDP PER CAPITA yaani wanagawa hiyo GDP Kwa popoluation. ..
Kila siku 'alaumiwe Nyerere kwa kuharibu uchumi na sera mbovu ya Ujamaa'. Haya nyinyi aliowaachia nchi mmefanya lipi la maana hadi sasa?Kinachokusikitisha ni nini? 60% ya Uchumi wao unategemea Mafuta na hao ndio Wanaongoza Kwa mafuta Afrika unategemea nini?
Unadhani wangekuwa wanategemea mahindi na migomba na Madini ya kubahatisha bahatisha Kwa idadi Ile ya watu wangekuaje?
Mwisho mlaumuni Baba yenu wa Taifa Kwa ujamaa wake wa miaka 25 ambao hakuna Cha maana ulisaidia as far as economy is concerned.
Msingi uliharibiwa kwahiyo nyumba haitakuwa imara.Kila siku 'alaumiwe Nyerere kwa kuharibu uchumi na sera mbovu ya Ujamaa'. Haya nyinyi aliowaachia nchi mmefanya lipi la maana hadi sasa?
Ndo maana hata nchi zilizoendelea ninatunanga tuache kulia lia eti Ukoloni umetusababishia umasikini. Sasa mko huru na bado hamuendelei.
Wapo milioni 220 Nigeria, kumbuka kuwa wingi wa watu ni mtaji tosha.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Msingi mbovu unaleta ugumu kwenye muendelezo maana hakuna kazi ngumu kama ya kubadili fikra za watu waliozoea rojo.mfano mzuri ni sera za Mwendazake Bado watu wanahusudu ujamaa.Kila siku 'alaumiwe Nyerere kwa kuharibu uchumi na sera mbovu ya Ujamaa'. Haya nyinyi aliowaachia nchi mmefanya lipi la maana hadi sasa?
Ndo maana hata nchi zilizoendelea ninatunanga tuache kulia lia eti Ukoloni umetusababishia umasikini. Sasa mko huru na bado hamuendelei.
Kamahatujafika piga hesabu ya 5.3%*75.7 harafu ulete jibuHata hiyo $80 bilion tumedandia tu bado hatujafika huko, japo kelele ni nyingi kuliko vitendo.
Unabisha nini Sasa Mzee? Kulisha population kubwa kama hiyo unadhani wanahitaji uzalishaji kiasi gani? Automatically tuu GDP itakuwa kubwa.Hauko sahihi. High population sio kigezo cha GDP, bali ni uimara wa uchumi wa nchi.
Kwanini Qatar inaizi GDP Tanzania? Je, nao wana population kubwa kuliko Tanzania?
Swala hapa sio ku reflect uhalisia wa Maisha Bali size ya uchumi ambayo inapimwa Kwa GDP.Moja ya changamoto ya GDP haileflect uhalisia wa maisha ..ndio maana huku kwetu tuna lugha maarufu UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI yaani BOT inatwambia UCHUMI umekua lakini maisha ya wananchi bado Duni..maana sekta nyingi zinazolisha Pato kwa wingi hazitokani na wananchi walio wengi Mfano madini etc...so unapojumlisha mapato yote then ukagawa Kwa popoluation haileflect uhalisia..ndio nachomaanisha.
Wewe na mtoa mada mna matatizo makubwa sana.Sisi huwa ni makelele tu kila kukicha ila hamna kitu.
Wewe uko tayari kumlaumu baba yako mzazi kwa failures zako mwenyewe, kwamba Mzee hakukuandaa vyema kwa changamoto za maisha.Msingi mbovu unaleta ugumu kwenye muendelezo maana hakuna kazi ngumu kama ya kubadili fikra za watu waliozoea rojo.mfano mzuri ni sera za Mwendazake Bado watu wanahusudu ujamaa.
Kwa hiyo kama Nchi tutakuwa tunaenda mbele na kurudi nyuma kulingana na milengo ya siasa.
Hata hivyo tukijitahidi kufikia growth rate ya 7% Kwa miaka 10 mfululizo tunaweza mshusha Kenya na Angola ila kuizidi South Africa haitakuja kutokea kamwe.
Kanuni muhimu ya kulinganisha ni kulinganisha vinavyolinganishika.Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Hujajua uchumi bado, Nigeria wnatuzidi kwa GDP kwa sababu wana idadi kubwa ya watu karibia milioni 300, ila kwa maendeleo ni shithole country kama TZ tu,Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Kumbuka 9geria ndio inaongoza kwa uchumi Africa usishangae kuona hivyoKumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
Sisi hata tungekuwa na mafuta bado tungeshindwa tuNigeria wana Mafuta na Bati wewe Tanzania una nini zaidi ya kodi?
Kwenye uchumi huwa wanalingaisha nchi zinazoendana...huwezi lingaisha Tanzania na marekani au nakuwait....popoluation it's matter kwenye GDP ndio maana mwisho wa siku Kuna kitu kinaitwa GDP PER CAPITA yaani wanagawa hiyo GDP Kwa popoluation. ..