Nimesikitika Nape alipotamba wamefumua hatua mbalimbali kuhusu uchumi alizochukua Magufuli

Sumu zipo nyingi tu kunywa mfuate Magufuli mkaanzishe utawala wenu wa kijima huko.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kesi hazifunguliwi na mahakama bali na DPP ambae ni mfanyakazi wa serikali, kama hazifunguliwi na mahakama hata kuzifuta mahakama haifuti bali alofungua DPP
 
Kutoka mtaani akihema ilibidi iwe hivyo maana mbele ya dikteta ulitegemea angemfanya nini, kama mtu bila mamlaka anadukua mawasiliano ya wengine unadhani huyo syo dikteta? Maana alifanikiwa kuwafunga vinywa watu ikabidi aingilie hata faragha za watu atashindwa kuondoa uhai wako?
 
Achaneni na habari za Magufuli, ameishaoza na hawezi kufufuka. Aliharibu uchumi, kapora pesa za watu, kifupi alikuwa jambazi na mwehu
 
Wewe msukuma gang Bure kabisa
 
UNA UELEWA MDOGO WA UCHUMI KAMA AKILI YA PANYA MBWA WEE.
 
Maushungi wamekutana na Nepi Nnauye ni kama PIPA NA MFUNIKO.

Wote wameishia LA SABA.
Uwezo wa kuongoza hautegemei elimu ya darasani peke yake.

Ni ubunifu, ni kipaji cha kuishi na watu na kujua wanataka nini na kifanyike nini ili waweze kukipata.

Wapo watu wengi wenye elimu za kawaida sana lakini wameheshimika kwa kufanya makubwa walipopewa uongozi.
 
Miradi ilianza kipindi gani?

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Hujui chochote kuhusu uchumi, akili yako ni sifuri kabisa eneo hilo.
 
Mbona marehemu mjombako alifanya nchi kama ya ukoo, alikaa ikulu, hazina kampa Doto mpwaye na sehemu zote nyeti kaweka wasukuma hukuona hilo kama ubinafsi na undugunization?
 
Hap akina polepole walikuwa wanufaika hawawezi kumsema vibaya lazima wamseme vizuri mana utajiri alionao polepole na akina makonda na bashiru hauelezeki. Jpm aliwanyima utajiri majority akawatajirisha anaowapenda. Makonda kule madake ana majuma usipeme mpaka amepangisha wazungu tu. Nenda kule madake ujionee, ni karibu na mother of mercy schools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…