Nimesikitishwa na huu ubaguzi na udhalilishaji uliofanywa MwanaCHADEMA. Siasa sio uadui

Ulitaka niwe napost kukufurahisha?
 
CCM ndio waasisi wa siasa za hovyo nchi hii ustaarabu hamna hebu angalia ninyi mnagonga mikutano ya hadhara, wenzenu mnawapiga pini hata mikutano ya ndani tu mnawakamata sasa msichoelewa watu wanaanza kuwafuatilia hawa wanaoonewa waziwazi, halafu ninyi mnaachwa hivo hivo
 
Ukiweka siasa za usawa na uchaguzi wa haki nawahakikishia ccm mnafungasha virago mapema sana basi tu mmebaki mnabebwa na chama dola tofauti na hapo ccm wepesi mno maana hamna hoja ya maana ya kuwaeleza watu wenye akili wawaelewe na hakuna mlivhodeliver kwa ufasaha nchi hii hakipo
 
Angeachwa mkoloni aendelee kutawala nchi ingekua na maendeleo makubwa kuliko ilivo sasa
 
Sijui ni video ya lin lkn huo ni ukosefu WA uvumilivu WA kisiasa
 
Eti mnapiga kura halafu majumuisho ya kura yanaenda kufanywa na wateule wa ccm aibu hii kwa nini majumuisho wasiwepo vyama vyote wawakilishi wao na wapate nakala zao
 
Sijui ni video ya lin lkn huo ni ukosefu WA uvumilivu WA kisiasa

Hoja ni kwamba chadema washanyanyasika sana inafikia hatua wanaona liwalo na liwe maana kama haki hawapati, na hawana pakudai, huwezi mfunga mtu eti maisha wakati hana kosa kesho useme atavumilia akitoka haipo hiyo
 
Eti mnapiga kura halafu majumuisho ya kura yanaenda kufanywa na wateule wa ccm aibu hii kwa nini majumuisho wasiwepo vyama vyote wawakilishi wao na wapate nakala zao
Kwanini mnataka kuhalalisha hicho kitendo kiovu alichafanyiwa huyo mzee?
 
Hoja ni kwamba chadema washanyanyasika sana inafikia hatua wanaona liwalo na liwe maana kama haki hawapati, na hawana pakudai, huwezi mfunga mtu eti maisha wakati hana kosa kesho useme atavumilia akitoka haipo hiyo
What ever the case two evils doesn't make it right, if all parties are bad basi hatuna chaguo lililosahihii..
 
Ubaya wanasiasa pamoja na wanachama wao hawajui demokrasia,sababu hata ndani ya vyama vyao hamna demokrasia ya vitendo bali na maneno tu.
 
kind of joke, utani wa kisiasa unaruhusiwa - mbona Simba na Yanga utani kila kukicha. Tatizo la maCCM hayajui utani yenyewe ni kuua ama kukufanya kilema mifano ni mingi saana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…