Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Sipo hapa kwa kubeza wala kukejeli nataka kupewa elimu kutoka kwa muislamu aliyesoma Quran tukufu ambayo ndio muongozo wa muislamu na usinilete hadithi kutoka muslim na tilmizu eti alimsikia mtume akisema hapana.
Nataka kwa mwenye andiko kutoka kwenye kitabu (Qur-an
Asanteni.

- wapi Mungu kasema tuoane
- wapi Mungu kasema uoe wanawake wanne
- wapi Mungu kasema ukioa mkigombana umpe taraka na watoto.
- wapi Mungu kasema ukimkumbuka uende kwao ukamlejee.
Asanteni.