Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Njoo kijijini kwetu ujipatie mke, unaweza usiwe na pesa lakini ukamiliki mwanamke mzuri wa sura Hadi tabia
 
Kweli mkuu mwanamke akiwa na umri mdogo yaani ukimzidi at least 9 years ni rahisi sana kumuongoza na ni rahisi yeye kufuata unachotaka.Lakini ukioa ambaye wote mmelingana umri mtakuwa mnajidanganya atakuvimbishia kichwa maana experience na knowledge ya maisha mnalingana.Ukiachana na hivyo siku zote mkubwa aheshimiwe .Mwanamke mwenye umri mdogo kuliko mume wake anamheshimu Sana mume wake kuliko yule aliyelingana naye umri.

Kuna Uzi jamaa aliandika ameoa mke hataki kufua hapiki hamuandalii maji ya kuoga anaishi kama bachela wakati ameoa.Naamini kabisa alimwoa mtu waliyelingana umri.
 
Inawezekana ni aina ya wanawake unaowataka wanafanania wa bongo movie. Nina dada yangu ana mtoto mmoja na ni kibonge mwepesi🙃
Kama kaka yake ningependa apate mchumba unasemaje hapo. Kaka lazima apate shemeji.
😋
 
Mkuu badilisha gia ya kutongoza mkuu na usiwe direct utateseka sana, mwanamke ukimfata direct anachomoa hawapendi kuonekana cheap


##Tumia hii mbinu

1: Meet----2: Date----3: seduce

Nauwe mjanja mjanja hapo kwenye hiyo mbinu . Ulokole weka pembeni kabisa unapo kua na mwanamke.. utumie ulokole ukiwa ndani unaomba mke mwema tuu na maisha mazuri huku ukichapa kazi kwa bidii..

Ukishindwa hiyo mbinu hapo kama mwanaume, nenda karatu wale wakule ni wakushika tuu mkono ndugu yangu kwanini uwe mpweke ila tutakuchapia sana

Nb: neno "date" lina utata ila natumaini mmeelewa
 
Kweli kabisa Mkuu
 
Utakuja mpata mnaoendana, muda bado upo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…