Tofauti ya umri ni jambo muhimu sana kuzingatia ,inashauriwa mwanaume amzidi mke umri utakaowezesha mwanamme awe Kiongozi mzuri kwa mwenzi wake kwa muktadha ya maturity ,mkilingana maturity mwanaume hutakuwa na uwezo wa kumsoma mkeo na kujua jinsi ya kwenda nae ,mwanamke hujisikia salama atakapoona kuona wewe mchumba/ mme wake uko mature enough kuweza kumsaidia kimawazo. Mkilingana umri mtalingana uelewa ,tofauti ya 1-3 ni kama age mate ,tofauti ya 4 yrs angalau lakini si kiihivyo hatari ya utofauti wa 4-5 yrs ni kwamba mwanamke anazeeka haraka kuliko mwanaume sababu ya kuzaa zaidi.ukiweka mwanaume wa miaka 40 na mwanamke wa miaka 40 pamoja akija mtu asiye wafahamu mtu anaweza ona hapo kuna dada mtu aidha na mdogo wake wa kiume .pia kadri umri unavyoongezeka ule ukigoli wa mwanamke unashuka ukweli tofauti nzuri iwe 6-10 chukulia mme ana 60 yrs mke 50yrs mme 80 mke 70 .Sasa fikiria mme 55yrs mke 52yrs au mme 74yrs mke 70 yrs huoni Ni yofauti na mume 70yrs mke 55 yrs au mme 54 yrs mke 44yrs huoni inakaa vizuri au mme 70 yrs mke 55yrs huoni kama hao wanaendana vizuri