Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

usinitishe wewe,,suala la kuosa mke sasa ni suala la kushangaa,huyu leo aseme suu tumuozeshe chaap,tenna fungate inaanzia hapa JF
Muunganishie demu sasa kama unawajua kuna wahanga wa kuolewa mkuuu
 
Tafuta pesa automatically utajua kutongoza.
 

Japo wanawake wanataka ndoa lakin wana standard zao. Si kila mtu anae jitokeza kwa lengo hilo atakubalika no.

Pili you are stoic in nature, angalia ni vitu gani unakosa ambavyo vinawafanya waku sideline. Lazima utapata tu, you are bot perfect 100%
 
Huo ukoloni wako ni chanzo,sio kwamba wanawake hawataki bali unaonesha tabia mbazo yawezekana mwanamke anakuona kama unamfanya mwenye dhiki,mwanamke kwanza anasifa yakutaka kuona anamilikiwa,na haitaji purkushani,hata ungekuwa mnyofu vipi lakini ukawa mtu mwenye ukoloni flani usitegemee kama utapata mwanamke wa kuishi labda awe na dhiki,badili mfumo wa maisha yko,mika 30+ mbona bado sana
 
Njoo inbox nikupe connection hata ya single mother mmoja mkalee familia.

Mwenzako napata magepu kibao nakula kona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…