Yes INDEED
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 304
- 622
Hahaha noo hujakosea lakini angalia usije pigwa na kitu kizito kama mwanetu hapoUnataka kusema kwamba nilikua nakosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha noo hujakosea lakini angalia usije pigwa na kitu kizito kama mwanetu hapoUnataka kusema kwamba nilikua nakosea
matumizi mabaya ya uanaume,au unataka kuleft?Nimeshaamua kuishi single kiroho safi
We hujui uchungu wa kutoswa kaa kimya kabisa wwmatumizi mabaya ya uanaume,au unataka kuleft?
usinitishe wewe,,suala la kuosa mke sasa ni suala la kushangaa,huyu leo aseme suu tumuozeshe chaap,tenna fungate inaanzia hapa JFWe hujui uchungu wa kutoswa kaa kimya kabisa ww
Muunganishie demu sasa kama unawajua kuna wahanga wa kuolewa mkuuuusinitishe wewe,,suala la kuosa mke sasa ni suala la kushangaa,huyu leo aseme suu tumuozeshe chaap,tenna fungate inaanzia hapa JF
Tafuta pesa automatically utajua kutongoza.Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Nilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakaw
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Afu tatuUnavyosema mtu atafute hela ni kiasi gani hiko cha hela ebu kuwa specific ni sh ngapi
Una sh ngapi?Hela ninazo
WE MUWAZI ANAFELI WAPIMuunganishie demu sasa kama unawajua kuna wahanga wa kuolewa mkuuu
Au mwaka huuAisee brother una umri[emoji1] au ulioa mwaka jana[emoji1787]
Mimi ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Eeeh Kwa nini sasaNilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Acha tuEeeh Kwa nini sasa
msaidie basi😛Eeeh Kwa nini sasa
Acha tu
Nin Sasa...kama mkoloni nitamsaidiejemsaidie basi😛