Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Kwani huwa unawaambiaje ukianza mtongozo mkuu?, isije kuwa unawaambia nataka nikuwowe, mmh wadada hatupendi na tunahisi una maslahi yako binafsi labda ule mbususu then ukimbie ndiyo unakuja na gia ya kuoa. Inabidi kuanza urafiki then after mambo ya kuoana tatakuja mbele ya safari. Badili strategy then utaona matokeo mwaka huu huu tunakula pilau
 
Unalo sema ni kweli wakati ww unaingia na gia ya kumuoa ,wenda yeye amesha ingia kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya 5 ambao nao waliingia kwa gia hiyo ya kuahidi kuoa akawaamini mwishowe baada ya kula mbususu wakamkimbia,kwa hiyo na ww ukienda kwa gia hiyo ni ngumu sana kukuamini anajua ndo wale wale.
 
Unamdalalia dadaako[emoji23][emoji23][emoji23]
Dada zako hutaki waolew?
Aliye na dada lazima awe na shemeji. My sister has the same problem she can't find a good man. Mleta mada he can't find a good woman. I am just in the middle helping. Mleta mada akimkataa dada yangu it's his loss 🙃
 
Kuna mkoa wanawake wanaoa wanawake wenzao pale ambapo hakufanikiwa kupata mtoto wa kiume ili aendeleze uzao. Hapa hata sijui nilitaka kusemaje.

Kijijini wanawake wapo unapaswa kwenda huko. Huku mjini wanapendwa sharobaros na wenye hela. Kama ni mkoloni na mfupi usie na hela utapata shida kidogo.

Pole sana.
 
Unalo sema ni kweli wakati ww unaingia na gia ya kumuoa ,wenda yeye amesha ingia kwenye mahusiano na wanaume zaidi ya 5 ambao nao waliingia kwa gia hiyo ya kuahidi kuoa akawaamini mwishowe baada ya kula mbususu wakamkimbia,kwa hiyo na ww ukienda kwa gia hiyo ni ngumu sana kukuamini anajua ndo wale wale.
Ni kweli mkuu, ajaribu gia nyingine ataona mambo yanavyokua mazuri
 
Kwani huwa unawaambiaje ukianza mtongozo mkuu?, isije kuwa unawaambia nataka nikuwowe, mmh wadada hatupendi na tunahisi una maslahi yako binafsi labda ule mbususu then ukimbie ndiyo unakuja na gia ya kuoa. Inabidi kuanza urafiki then after mambo ya kuoana tatakuja mbele ya safari. Badili strategy then utaona matokeo mwaka huu huu tunakula pilau
Kwa age kama 28+ kuendelea ukingia na gia hiyo mara nyingi hawachomoki.
 
Ni ngumu kuamin lakin ndo uhalisia nowdays wanawake wapo selective sana
Ukiona umefika huku, jua akili yako yote unawaza mwanamke na kumweka mwanamke kimbaumbele chako kuliko maisha yako. Yaani, kwaujumla unakaa na kuwawaza jinsi wanavyokufikiri na wanavyofikiri maishani mwao hivyo akili yako imegeuka kuwaza wanawake tu naumesahau maisha yako. Acha, utateswa sana na kulia sana kwatatizo ambalo ukikaa ukiwa umeota mvi utajidharau sana. Mke ni muhimu ila umetengeneza fantasies za ajabu jinsi utakavyokuwa na raha ukiwa na mwanamke ila ukweli ni kwamba hayo sio reality

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke wa kuoa hatafutwi atakuja mwenyewe Mungu atakuletea. Wanawake ndio wanachagua wanaume wakuishi name.ukifanya tongozo tongozo utapiwa mizinga ambayo dunia hujawahi Shujudia. Ushauri nenda Urusi ukapigane vita Ukraine ukifa unakuwa mbolea unarutubisha ngano na misitu ya ukraine
 
Back
Top Bottom